Timothy Marko
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa
taasisi za kodi Barani Afrika (Africa Tax Admistration Forum –ATAF )ambao
utawajumuhisha watalamu wa maswala mbali ya kodi kutoka sehemu mbalimbali za
dunia kwa manufaa ya afrika ambapo Tanzania ni mwanacha ma wa taasisi hiyo
barani afrika .
Akizungumza
nawaandishi mapema hii leo Kamishina mkuu wa mamlaka ya mapato nchini TRA
RISHED BADE amesema kuwa mkutano huo utajumuhisha nchi 37 za barani afrika
ambapo mkutano huo unatajiwa kufanyika 16 septembar mwaka huu ambapo mgeni
rasmi wa mkutano huo anatajiwa makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal .
‘’Lengo la
mkutano huu nikujadili namna yakuimarisha taasisi za kodi afrika kujenga uwezo
wa watumishi katika tasisi za kodi kubadilishana uzoefu wa ukusanyaji kodi
katika sekta mbalimbali pamoja na kubadilishana taarifa muhimu za biashara za
kimataifa na uwekezaji katika nchi za
afrika ‘’alisema Rished BADE .
BADE alisema
washiriki wamkutano huo wanatarajiwa mwenyeji Tanzania,benini,Botswana,Burkina faso,BURUNDI
,Camerooni chadi Comoro,misri eritea GABON,Gambia ,Ghana ,ivory cost ,Kenya ,Lesotho,Liberia
,madagasca,Malawi,Marutarnia,Mauritius,Moroco ,musumbiji,Namibia,Nigeria ,niger
RWANDA,SENEGAL ,Seychelles ,sierra leone,afrika kusini ,sudani ,Uganda,Zambia pamoja
na zimbabwe. .
Alisema
kauli mbiu katika mkutano huo ni Tathimini yauongozi na mikakati yausimamizi wa
agenda yakodi afrika (rethinking leader in the Global Tax agenda kuzingatia weledi
nakanuni namisingi bora yauongozi na utawala .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni