Jumanne, 19 Agosti 2014

WANAWAKE WALIOKATI YA UMRI WAMIAKA 15 NA 45 WAMOKATIKA HATARI YA KUPATA UGOJWA WAKISUKARI


Timothy Marko.
INAKARIRIWA  kuwa jumla ya wanawake walio kati ya umri wa miaka 15hadi 45 wanakabiliwa natatizo la uzito kupitakiasi haliayotokana  ulaji mbaya wa vyakula ambapo kati yawanawake hao wamekutwa na magonjwa ya kisukari ,shinikizo ladamu pamoja magonjwa ya moyo .

Akizungumza leo jijini ,katika kongamano la tasisi ya chakula nalishe ambalo liliwajumuhisha wadau mbalimbali wa sekta hiyo ikiwemo Taasisi ya usaid na unrich Katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu Frolence Turuka amesema tatizo la kuongezeka uzito ambalo linawakabili wanawake wengi hapa nchini limekuwa nitatizokubwa ambalo jitihada za kukabiliana natatizo hilo sekta mbalimbali zinazohusiana na maswala ya lishe hainabudi kushirikiana.

‘’Suala lishe linahusisha wadau wote ikiwemo sekta binafsi juu ya uandaaji wa vyakula sekta hii kwaiasi kikubwa ndio inachangia ubora wa chakula ulaji usio nataratibu za kiafya inachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya magonjwa yakisukari ‘’Alisema Frolence Turuka .

Turuka alisema kuwa kuptia taasisi ya chakula ya Tanzania food and nutrion centre (TFNC )imekuwa ikiendesha mipango mbalimbali ikiwemo kufanya utafiti na tathimini pamoja nakuratibu mipango kazi ilkuimalisha suala lalishe hapa nchini .

Alisema Tanzania imeweza kulitafutia suala utapiamlo ufumbuzi kuazinzia katika ngazi ya kata pamoja na vijiji ilkuweza kuondokana na suala utapia mlo hapa  nchini ilkufikia malengo ya millennia ya mwaka 2025 ynayotaka kuondokana tatizo la utapia mlo hapa nchini .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni