Alhamisi, 17 Julai 2014

TANZANIA YASHAURIWA KUTUMIA MBINU ZA KISASA KATIKA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO NCHINI.

Timothy Marko.
WAKULIMA nchini wametakiwa kutunza taarifa za uzalishaji mazao pindi unapofika wakati wamavuno ilkuweza kutambua kiasi kinachozalishwa nakujua takwimu muhimu yajuu ya uzalishwaji na uzwaji wa mazao hayo ilikujiletea faida .
Akizungumza jijini leo, Katika mkutano wa wadau mbalimbali wakutoka nchini china na Tanzania juu yakubadilishana uzoefu kuhusiana namaswala mbalimbali juu yakuboresha kilimo nchini KATIBU wa wizara yamipango Philiph Mpango amesemakuwa  ilikuweza kuwa  kilimo chenye manufaa nilazima wakulima wafuate njia bora za kilimo.
‘’Tumekuwa na matatizo mengi ya husuyo uzalishaji bora wabidhaa zitokanazo nakilimo swala lililopo nije wakulima wanatumia njia sahihi za uboreshwaji wa mazao yao nilazima kilimo chetu kiwe nikilimo chenye tija chenye kuinua uchumi wetu’’Alisema Philiph Mipango .
Mipango alisema kuwa kumekuwa nachangamoto juu ya utendaji naufuatiliaji wasera mbalimbali zihusuzo maswalambalimbali yahusuyo kilimo.
Alisema Pia kuwekuwa nachangamoto juu yawakulima kutunza kumbukumbu za uvunaji wamazao yanayopa tikana wakulima wengi hawana takwimu sahihi za mazao yao ilkuweza kuleta ulinganifu wamavuno yaliyopita na yasasa.
Katika hatua nyingine Mtaalamu wa maswala yakilimo nchini china Zhoa Shengkun amesema kuwa Uhusiano wa Tanzania nachina ni wakipindi kirefu hususan Tanzania na china ni nchi zinazoendelea ambapo china imekuwa ikijihusisha namiradi mbalimbali kwa wakulima hususan wakutoka katika mikoa ya Njombe katika kuwawezesha uzalishaji bora wa zao lamahindi.
Shenkun alisema kuwa lengo lakuanzisha miradi mbalimbali katika mkoa huo nikuiwezesha Nchi ya Tanzania na china kuwa namaendeleo ya kiuchumi ya tokanayo na kilimo cha mahindi.
‘’Msaada wakutoka china unalenga kukuza uzalishaji nakuongeza Kasi ya maendeleo baina ya nchi hizi mbili Tanzania na china’’Alisema Shenkun.
Shenkun alisema kuwa hivi karibuni Rais wa nchi hiyo ya china Chijping aliwahi kuitembelea bara la afrika nakujionea changamoto mbalimbali walizokuwana zo katika bara la afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni