Jumatatu, 23 Juni 2014

WANANCHI WILAYANI RUFIJI WAPINGA UKATAJI WA MITI YA MIEMBE

Timothy Marko.
WANANCHI mkoani  pwani  wilaya Rufiji wamepinga kitendo cha baadhi ya wakaazi wa wilaya hiyo kukatamiti yamiembe kwa minadi yakujipatia fedha hali inayopelekea nakuwepo kwa uharibifu wa mazi ngira.
Akizungumza jijini leo,muwakilishi wa wananchi waishio katika wilaya Rufiji mkoani pwani Maulid  Mlawa amesema kuwa kufuatia ukatwaji wamiti yamiembe katika wilaya hiyo Mkoani pwani umeweza kupelekea kiwango cha maembe yazalishwayo katika wilaya hiyo kupungua nakuweza kuwakosesha fedha itayokanayo na miti hiyo yamatunda .
‘’Hivi Sasa kumezuka tabia mbaya na yahatari ya ukatwaji wa magogo yamiembe wilayani rufiji mkoani Pwani hali ambayo inatishia uhalibifu wa mzaingira nakusababisha upungufu wa mazao ya embe hali inayopelekea wananchi katika wilaya hii yarufiji kukosa kipato’’Alisema Maulid Mlawa .
Mlawa alisema kuwa Baadhi ya waakazi hao  waishio katikawilaya Rufiji   mkoani pwani huyauza maembe hayo katika masoko yajijini hapa katika masoko ya Karikoo ,Temeke ,Buguruni na ilala.
Alisema kuwa Baadhi yaviongozi wakata hiyo wamekuwa wakilifumbia macho ili hali wakiona vitendo vyauhalibifu wa mazingira utokanayo ukataji huo wamiti yamiembe .
‘’Viongozi wa wilaya yarufiji bila shaka wanaona nakushudia uharibifu huu wa kukawaji wamiembe ambayo husaifirishwa Dar es salam’’Aliongeza Mlawa .
Katika hatua nyingine chombo hiki kiliweweza kuwa tafuta wa kuu,wa wilaya hiyoili kuweza kuzungumzia swala hilo  hawakuweza kupatikana lakini bado juhudi hazikuweza kuzaa matunda hadi tunaingia mitamboni .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni