Timothy Marko.
Takriban wasahiliwa 1281 kati ya 6115 walifanya usahili juni 13 mwaka huu katika wizara ya mambo ya ndani jijini Dar es salaam wanatarajiwa kuingia duru ya pili ya usahili huo ambapo baada yamwatahiniwa hao kufaulu awamu ya kwanza ya usahili huo.
Akizungumza jijini leo,Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani Isac Nantanga amesema kuwa usahili huo wa awamu yapili unatajiwa kufanyika juni 23 hadi julai 3 mwaka huu katika bwalo la Maafisa Magereza ukonga kuanzia saa 1.30 asubuhi.
‘’Usahili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza juni 23 hadijulai 03mwaka huu katika bwalo la maafisa magereza ukonga jijini Dar es salaam kuanzia saa 1.30 Asubuhi’’Alisema Isac Nantanga .
Isaac Nantanga alisema kuwa katika usahili uliopita ulihusisha maswali ya kuandika pamoja nahesabu na ufahamu wakati usahili wa awamu yapili utakuwa ana kwa ana ambapo usahili huo ukiwa na lengo wa kupima uelewa wa mambo.
Alisema kuwa kuchaguliwa kwa wasahiliwa hao kulifanyika baada ya kusahilisha majibu yao na majina nakuingizwa kwenye mfumo wakimtandao ambao ulisaidia kupata wasahili 50na kuendelea .
‘’Awali kiasi cha wasahiliwa 10,801 waliitwa kwaajili yausahili wa kwanza baada ya kupokea maombi yao lakini waliohuhudhuria ni 6,115 nakati yao ndio walipatikana 1281ambao watashiliwa ilikuweza kupata nafasi 70 za mkaguzi msaidizi ambapo majina yawashiliwahawa yanapatikana kwenye tovuti ya mambo ya ndani www.moha.go.tz au www.uhamiaji.go.tz’’Alisema Natanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni