Jumanne, 10 Juni 2014

HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI YA POKEA MSAADA MASHINE YA KUSAFISHA DAMU KUTOKA NCHINI INDIA

Timothy Marko
Katika kuhakikisha sekta ya afya inakuwa nakuimalika hapa nchini ubalozi wa india kupita taasisi ya Madrasa Medical Mission ya nchini india,  ukishiriana na hospitali ya taifa  muhimbili imetoa msaada wa mashine maalumu ambayo itawawezesha wagojwa kuweza kusafishwa Damu nakuondokana natatizo hilo .
Akizungumza jijini leo  na waandishi wa habari kaimu   Mkurugenzi mtendaji wahospitali hiyo ya taifa Muhimbili Agness Mtawa amesema kuwa kumekuwa nauhitaji mkubwa wa huduma za usafishwaji wa damu hali inayopelekea wagonjwa wamagonjwa yafigo kuwa katika hali mbaya nakulazimika kulazwa kwenye chumba cha mahutihuti.
‘’Huduma hii ya kusafishwa damu nimuhimu sana awali wagonjwa wengi wenye matatizo ya figo wamekuwa wakilazwa katika chumba cha mahuti huti kwahiyo kama navyo onakuwa kuwahudumahii ni muhimu sana ‘’Alisema Agnes Mtawa .
Agnes Mtawa alisema kuwa huduma hiyo yausafishwaji wadamu katika hosapital hiyo ilianza kutolewa tangu mwaka 2011 ambapo huduma hiyo ilikuwa chini ya idara ya tiba ikiwa nalengo lakuboresha afya za wananchi.
Alisema kuwa awali hospitali hiyo yataifa ilikuwa na mashine tano ambazo zilitumika kutoa huduma hiyo kwa wananchi ambao walikuwa na uhitaji wa huduma hiyo yakusafishwa damu .
‘’Awali huduma hii yausafishwaji wa damu mwilini tulikuwa na mashine tano tu ambazo zilitumika katika kutoa huduma kwa wagonjwa walikuwa mauti uti hali iliyo pelekea wagonjwa mauti kupelekwa kwenye wodi ya watoto ilkupatiwa huduma hiyo’’Aliongeza kaimu mkurugenzi wa muhimbili.
Aliongeza msada huo umekuja kwa wakati ambapo serikali kwa kushirikiana wizara ya afya naustawi wajamii ambapo wizarahiyo ipo katika mkakati wakuboresha sekta ya afya.   

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni