Ijumaa, 6 Juni 2014

DIWANI WA BUNJU AKANA TUHUMA ZINAZO MKABILI JUU YA UUZAJI WA ARIDHI KATIKA JIMBO LAKE

Timothy Marko.
Kufuatia kuibuka kwamgogoro  wa ardhi hapanchini diwani wa kata bunju amekanusha tuhuma za kuhusika na ugawaji wa ardhi katika jimbo lake kinyume nasheria nakusisitiza kuwa yeye sio muhusika wa ugawaji waardhi ambao umegharimu shilingi milioni miatatu.
Akizungumza jijini leo diwani katahiyo Maji Masafi Sharifu amesema tuhuma zilizotolewa nabunge wa kawe Halima Mdee si za kw eli nakusisitizakuwa kama anao ushahidi wa ugawaji wa ardhi kinyume na sheria  mbunge huyo anatakiwa kwenda makamani ili kuthibitisha  tuhuma zilizo ibuliwa na mbunge huyo wa kawe  tiketi ya chadema .
‘’kama imebainika kama nimeshukuahizo fedha ninamuomba mheshimiwa mdee aende akaithibitishie mahakama juu ya tuhuma alizo nituhumu na kama itabainika nikweli nitajiuzuru wa wadhifa wangu kama diwani wakata yabunju kwani ninazo njia nyingi za kutafuta pesa’’Alisema Maji masafi.
Maji masafi alisema kumekuwa nakundi ambalo linajulikana kama mungiki ambalo limekuwa likiongozwa na mbungehuyo wa kawe Halima mdee ambapo limekuwa likitoa kauli chafu dhidi yake ,aidha kundi hilo limekuwa nania yakumchafua diwani huyo kwa malengo ya kisiasa.
Alisema kundi hilo linalojukana kama mungiki limekuwa nawatu thelathini natano limekuwa likishinikizwa na mbuge huyo kuwa ndiye aliye chukua fedha hizo.
‘’tumekuwa tukisaidiana sana lakini kumekuwa nakundi dogo linalo jiiita mungiki limekuwa likishinikizwa na mbuge Halima kuwa mimi ndie nilihusika naugawaji waviwanja katika kata hiyo yabunju.
Katika hatua nyingine mwenyekiti wa kitongoji cha basihayaDanel Aron katika kata hiyo amesema kuwa mbunge wakawe amekuwa akimtuhumu kuwa ndie anaye gawa ardhi katika katahiyo jambo ambalo mwenyekiti wakitongoji hicho amekanusha.
Daniel Aron alisema kutokana na tuhuma hizo kumekuwa ujumbe mzito unatumwa kwenye simu zake zikiwa zikimtishia maisha mwenyekiti huyo .
‘’tumekuwa tukipokea meseji za vitisho huwezi kutafuta umaarufu wa kisiasanaomba muheshimiwa mumulize kama anauthibitisho ‘’Alisema Aron.
Kiongozi wakatahiyo Elikimu mwaipaya amesema kuwa wamekuwa wakishangazwa nambungehuyo angetakiwa kulifuatilia swalahilo lakini mbungehuyo amekuwa akiwaerudisha nyuma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni