Alhamisi, 22 Mei 2014

ZANTEL NA KAMPUNI YA THE GUARDIAN LIMITED YAZINDUA HABARI KWANJIA YA SMS

              Timothy  Marko.
Kampuni ya   mawasiliano ya zantel  kwakushirikiana  na kampuni ya the gudian limited imezindua  mpango wakuwatarifu wananchi habari zilizojili ndani nanje yanchi kwa njia ya SMSkwa wateja  wake .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo mkuu wakitengo cha mawasilano wa zantel Arnold Madale amesema kuwa huduma hiyo yanipashe SMS na the Gurdian SMS nihuduma rahisi kwa mtumiaji ambayo huweza kufikia mtumiaji kihurahisi zaidi.
‘’zantel imetambua ukuaji wasekta yamawasiliano ndio maana imeanzisha hudumahii ilikuwawezesha wateja wake kupata habari zilizojiri kiurahisi nakwa wepesi zaidi ndio maana tumeamua kuzindua hududuma ya habari kwanjia ya SMS kwa kushirikiana na wadau wetu wa kampuni ya the guardian ilkuwa wezesha wateja wetu kuhabarika na habari mbali mbali ‘’alisema alisema Arnold madale.
Arnold Madale alisema kuwa lengo lauanzishwaji wahuduma hiyo ni kuwa wezesha wateja wanaotumia mtandao huo kuweza kupata habari kwa wakati zenye uhakika kutoka kwenye magazeti ya the guardian na Nipashe.
Akizungumza kwa niaba yakampuni ya  gazeti la the guardian meneja mauzo wagazeti hilo Januarius Maganga amesema kuwa uanzishwaji wahudumahiyo utaweza kuwapatia wateja wa mtandao wa zanteli pia na wasomaji wa magazeti ya nipashe na the guardian kupata habari motomoto kutoka kwenye vyumba vya habari yaliyo mo kwenye magazeti hayo.
Januarias Maganga alisema kuwa anawahamasisha wasomaji wa magazeti hususan the guardian na nipashe kusoma habari zilizomo kwenye magazeti hayo kupitia mtandao wa zantel ambapo magazeti hayo yatatumia lugha zote mbili Kiswahili na kingereza .
‘’tume amua kuwaletea huduma hii yabure kabisa kwa magazeti ya the guardian na nipashe kwa lugha yakiswahili kwa gazeti lanipashe na lugha kingereza kwa gazeti la the guardian’’alisema Maganga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni