Timothy Marko.
Serikali kupitia wizara yaafya na ustawi wajamii imesema kuwa ugonjwa wa denge ambao umeliripotiwa kuwepo jijini Dar es salaam umesasababisha vifo vya watu wawili na zaidi yawagonjwa 376 wamethitishwa kuwa naugonjwa huo.
Akizungumza jijini na waandishi wa habari mtaalamu wa magonjwa yamilipuko katika wizara ya afya na ustawi wa jamii Vida Mmbaga amesema kuwa baada ya kufanya utafiti wakituo cha magonjwa kijulikanacho NIR kituo hicho kimebainikuwa ugonjwa huo wa denge unasababishawa na mbu aitwaye idex.
‘’ugonjwahuu wa denge unasambazwa nambu aitwaye idex mbu huyu huzaliana kwenye madimbwi ya maji mengi yaliyotuama ‘’alisema vida Mmbaga.
Vida Mmbaga alisemakuwa dalili zaugonjwahuo wa denge hautofautiani na dalili za ugonjwa wa maralia .
Alisema kuwa kinga ya ugonjwa huo nikujikinga na mbu ikiwanakufukia mashimo yamaji yaliyotuama nakutolewa kabisa.
‘’ugonjwahuu wa Denge unatabia yakuishi kwenye maji yaliyotuwama ‘’alisema vidammbaga.
Aliongeza kuwa mojayadalili za ugonjwahuo nikutokwa damu kwenye matundu yamwili nakusisitiza kuwa jamii inapaswakuondoa mazalia yambu ilikuondokana naugojwa huo.
‘’kwasasahivi ugonjwahuu ume enea katika jiji la Dar es salam huku baadhi yamikoa umekuwa ikifanyiwa utafiti kama ugonjwahuu wadenge upo’’alisema .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni