Jumanne, 20 Mei 2014

NCHI ZA JUMUHIA AFRIKA MASHARIKI YAITAKA TANZANIA KUHARAKISHA MCHAKATO WA USHURU WA FORODHA WA PAMOJA

Timothy  Marko.
Wadau waforodha wa jumuhia ya afrika mashariki wamesema uanzishwaji wa ushuru wa bidhaa wa pamoja utasaidia nchi wanachama wa jumuhia ya afrika mashariki kutasaidia kupunguza utozwaji wa  bidhaa zinazotoka kwanchi wanachama wajumuhia hiyo.
Akizungumza jijini leo kwenye mkutano wakujadili namna yaukusanyaji wa kodi kwa bidhaa zinazo toka katikajumuhia hiyo mkurugenzi wa Forodha  wajumuhia ya afrika mashariki Keneth Bagamu amesema kuwa lengo  lakufanyika kwa mkutano huo nikujadili juu ya gharama za utoaji bidhaa na usafiriashaji wa bidhaa zinazotoka katika jumuhia ya afrika mashariki .
‘’lengo lamkutano huu nikujadili juu ya uondoshwaji wa gharama za bidhaa zinazotoka katika ukanda waafrika mashariki ambapo tumekuwa tukitumia siku takribani siku 18 ili kutoa mzigo wakwenda mjini  kampala ‘’alisema keneth Bagamu .
Keneth Bagamu alisema kuwa  katika mji wamombasa nchini Kenya bidhaa inayo kwenda katika mji wakigali nchini RWANDA hutumia siku  21 kwenda Mombasa nchini Kenya.
Alisema kuwa katika mji wa Arusha nchini Tanzania huchukua muda wa siku 8 ilikukamilisha taratibu wakulipia bidhaa ilkwenda katika mji wa Eldorate nchini Kenya .
‘’ushuru wabidhaa wa pamoja utasaidia kuondoa vikwazo katika biashara katika nchi washirika wa afrika mashariki ingawa  nchi ya Tanzania imekuwa ikisuasua katika utekelezaji wa ushuru wa bidhaa wa pamoja wa afrika mashariki ‘’aliongeza keneth .
Katika hatua nyingine Rais wa mawakala wa forodha nchini Steven Ngatunga amesema kuwa kuhusiana nakususuasua kwa Tanzania katika kuingia katika ushuru waforodha wan chi  za afrika mashariki nchi ya Tanzania haipingi kuhusiana na suala hilo bali wanachokisubiri nikuunda sera maalumu itakayosimamia ushuru wa forodha.
Steven Ngatunga alisema kuwa kuhusiana nasuala lajira za afrika mashariki amesema serikali yatanzania ifanye utafiti wakina nakulinda ajira za watanzania .
‘’Hii nisera ya nchi mwanzoni nchi ya Uganda walikuwa wanapinga juu ya mchakato wa ushuru moja wa afrika mashariki ‘’alisema Ngatunga.
Aliongeza kuwa katika hatua ya upokeaji mizigo nilazima uwe na namba yamlipakodi unapomruhusu mtu wanje nilazima uwe na namba ya mlipakodi naumsajiri kwenye tin.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni