Timothy Marko
Katika kuhahikisha sekta ya afya inaimarika nchini hosipitali kuu ya taifa Muhimbili imezindua mpango maluumu wakuboresha huduma zake katika hospitali hiyo ujulikanao awamu yatatu ya moi ikijumuisha uboreshaji wa majengo katika hospitali hiyo.
Akizungumza jijini leo Meneja uhusiano wa muhimbili (MOI) Almas Juma amesema kuwa kumekuwa na malamiko kwa baadhi ya wananchi wanaofika katika hospitali hiyo kuhusiana na huduma zinazo tolewa na hospitali hiyo kuwa zipo katika kiwangokisicho ridhisha hivyo tume amua kujenga jengo jipya ambalo litaweza kuwa na vitanda 380 .
‘’tutakuwa najengo jipya ambalo litakuwa navitanda 380 hadi hivi sasa tunaweza kuhudumia vitanda 159 ambapo uboreshwaji huu utaenda sambamba na miundo mbinu ya hospitali kikiwemo maabara na vifaa vyake ‘’alisema Almas Juma.
Almas juma alisema kuwa uboreshwaji wamiundombinu ya hospitali sambamba na uboreshwaji wa huduma katika hospitali hiyo kutaweza kupunguza gharama za wananchi kutibiwa nje ya nchi ambapo serikali huingia gharama kuwa katika kuwa safirisha wagonjwa.
Alisema kuwa huduma nyingi za upasuaji wa mifupa hufanyika hapa hapa nchini ambapo baadhi ya wataalamu wa huduma hiyo wanapatikana hapa nchini .
‘’asilimia 80ya operesheni ya mifupa inafanyika hapa nchini ambapo kutokana naukosefu wavifaa kama city scan MRI’’aliongeza Almas.
Aliongeza kuwa hospitali yake inaupungufu wa madakitari 70 ambapo baadhi yao huenda katika nchi za nje ilkuweza kufanya kazi .
Alisisitiza kuwa hospitali hiyo yataifa imekuwa yakwanza katika kutoa huduma kwa njia zakisasa zaidi kwa kutumia tenknolojia .’’hospitahii imekuwa yakwanza ambapo hadi sasa tunavyo vitanda 180 hadi kufikia 159 hatimaye baada ya mabadiliko ya WHO ambapo kila wodi inawagojwa 35’’alisema Almas.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni