Ijumaa, 16 Mei 2014

EWURA YA SHAULIWA KUFANYA MANUNUZI YAPAMOJA KATIKA MAFUTA ILIKUONDOKANA NA MFUMUKO WA BEI

Katika  kuhakikisha mfumuko wa bei nchini unadhibitiwa serikali imeishauri mamlaka ya uthibiti wanishati na maji  nchini (ewura )imeshauriwa kufanya manunuzi ya pamoja ya mafuta ili kuweza kupunguza mfumuko wabei yabidhaa hapa nchini.
Akizungumza leo jijini waziri wanishati namadini Sospeter Muhongo amesema kuwa shirika hilo lazima ijengewe uwezo katika kutekeleza majukumu yake .
‘’kazi ya mamlaka ya uthidibiti wa nishati namaji nchini nikusimamamia bei nasio kuwekavizuizi vya kuhusiana namfumuko wa bei utokanao na nishati hapa nchini bali nikusimamia bei ya mafuta’’alisema waziri Sospeter Muhongo .
Waziri Sospeter Muhongo amesemakuwa illikuhakikisha mfumuko wa bei unathibitiwa nilazima njia mbali zausafirishaji wa bidhaa kama bandari unakiwa kufanyiwa marekebisho nakuboresha ilikuto tegemea chanzo kimoja cha usafirishaji wa bidhaa ikiwemo barabara.
Alisema kuwa kwanchi ambazo hazina bandari serikali itaunda sera ambayo yatawezesha sekta yamafuta kusafirishwa kwakutumia njia ya bandari nasio barabara kama ilikuwa awali.
‘’lazima tuunde sera ambazo zitawezesha nchi ambazo hazina bandari kutumia bandari ilkuweza kusafirisha mafuta kwanchi hizo ili serikali iwezekupata mapato yatokanayo nabandari’’aliongeza waziri wanishati namadini.
Aliongeza kuwa lazima mamlaka iwezekuwanaushirikianona kuongeza ulinzi ilikudhibiti mfumuko wa bei kwakushirikana  nawadau mbalimbali ilkudhibiti upotevu wamafuta .
Waziri wanishati na madini alisema kuwa nilazima mamlaka hiyo ijitegemee nasio kuwa tegemezi kwaserikali .
‘’naimba eura ijitegemee nasio kusimamiwa bali jitegemee ilkuweza kutimiza malengo yake ‘’alisema waziri muhongo.
Muwakilishi kutoka chuo kikuu cha Dar es salam Semboja Haji alisema kuwa katika utafiti ulifanywa nachuo hicho umebainikuwa ukuwaji wa sekta yamafuta nagesi unazidi kukuwa hasa uchimbaji wamafuta .
Alisema katikautafiti ulifanywa umebainikuwa uchakachuaji wa mafuta umezidikukuwa hali inayopelkea kutopatikana ubora wamafuta ikiwemo kuchan ganywa kwa mafuta ya taa na dizeli.
‘’kumekuwa nauchakachuaji wamafuta hali inayopelekea hali yaubora wamafuta kuwahafifu nakuaribika kwa injini za magari hali yauchakachuaji wa mafuta ‘’alisema DkSemboja haji.
George gande ambaye pia nimuwakilishi chuo kikuu cha Dar es salaam alisema kuwa manunuzi yajumla kwabidha ya mafuta umeweza kupunguza mfumuko wabei ya mafuta ya petrol.
Alisema kuwa takibani shilingi 9zimekolewa ikilinganishwa na zamani ambapo lita 0.9zilikolewa katika kipindi chanyuma hali inayotokana nauboreshaji wasekta hiyo  yamafuta.
‘’takribani shilingi 9zimeokolewa ikilinganishwa nakipindi cha nyuma ambapo ni senti 9tu ndiz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni