Ijumaa, 16 Mei 2014

CHAMA CHA ALBINO NCHINI CHAIOMBA SERIKALI KUONGEZA NGUVU KATIKA MAPAMBANO YAMAUAJI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Timothy  Marko.
Chama cha watu wenye ulemavu wangozi nchini  kimeitaka serikali kuwashughulikia wanao uwa watu wenye ulemavu wangozi kwakisingizio chakupata utajiri.
Akizingumza nawaandishi wahabari jijini leo kwenye ukumbi wa idara yamaelezo  mwenyekiti wachama cha watu wenye ulemavu wangozi nchini Joseph Tona alisema kuwa kutaokana nakuwepo kwa vitendo vyaujangili nchini serikali imekuwa mstari wambele katika kudhibiti vitendo hivyo na huku badhi yavitendo vya mauaji ya watu wenyeulemavu wangozi albino  kuachwa kando.
‘’serikali imekaakimya tembo wa wanauwawa waalifu wanachu kuliwa hatua lakini hatuoni sheria zinazo dhibiti vitendo vya mauwaji ya watu wenye ulemavu wangozi vinadhibitiwa ‘’alisema Josephat Tona.
Josephat tona alisema kuwa kazi yachama hicho nikukuza uelewa washeria nakusisitiza kuwa hivi karibuni waziri mkuu alitoa kauli kuwa kamata wasambazaji wauzaji waviungo vya watu wenye ulemavu wangozi.
‘’kulikuwepo nakura zasiri 2008lakini hatuoni muelekeo wamadai hayo vitendo vyamauaji ya albino yamekwa yakiendelea siku hadisiku  swalahili hatujui kama limekaa kisiasa zaidi’’alisema tona .
Aliongeza kuwa kumekuwa nadhana kuwa kwa wachimba madini wanasisa kuwaua maalubino hali imekuwa ikijenga hofu kwajami hiyo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni