Timothy Marko
Gari aina ya
fuso mistubishi lilikuwa likitokea moshi
kuja jijijini limesababisha ajali nakusababisha
kifo chamtu mmoja ambaye jinalake bado halijaweza kufahamika .
Gari hilo limemgonga
diwani wa hedaru aliyekuwa
akiendesha gari aina ya Toyota
Hilux ambaye ni Diwani wa kata ya hedaru ,ambaye alifahamika
kwa jina Gerard Mgwena wakati gari hilo likielekea msibani ambapo mtuhuyo alifariki alidaiwa kusombwa na
maji .
Akizungumza leo
mkuu wa kikosi cha usalama barabarani kamanda Mohamed mpinga alisema dereva
huyo wa Hilux pick up alipokuwa amefika katika eneohilo latukio alikuta bara
bara imefunikwa na matope ilyotokana namvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa .
‘’Dereva wa
gari aina hilux pick up alisimama nakufanya uchunguzi kama angeweza kupita kwa
usalama ,ghafla upande wa nyuma lilitokea roli
aina yafuso nakisha kuigonga pick
up hatimaye kusukumwa nakwenda kugongana uso kwa uso nagari jingine aina yascania ikiendeshwa na dereva aitwaye Gabriel David akitokea Dar es salaam kuelekea moshi’’alisema
kamanda Mohamed mpinga.
Katika tukio
jingine Kamanda mpinga alisema kuwa mnamo
march 29 mwaka huu majira yasaa mbili
usiku katika maeneo ya mkupuka jijini Dar es salam kata yakibiti gari aina ya hiace lenye namba za
usajili T948cux ambalolilkuwa likitokea
ikwiriri kwenda kibiti likiwa limebeba abiria ambao niwafanyabiashara ambao walikuwa wakitoka guliloni siku ya
jumamosi kwenda kibiti siku
yajumapili dereva wa hice aliligonga
roli lilokuwa limeharibika ambalo gari
hilo lilisababisha vifo vya watu saba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni