Timothy Marko.
Imelezwa
kuwa ubora waelimu nchini lazima utatue changamoto mbambali zilizopo wanazokumbana
wananchi ili kujiletea maendeleo katika nchi zilizoendelea wame weka kipaumbele sana katika swala la
elimu katika maendeleo.
Hayo
yamesemwa leo jijini ,na waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye wakati akizindua
nyenzo ambambazo zitatumika kwa wanafunzikatika kukuza uelewa wasomo lahisabati
nchini.
Akizindua
mpango huo waziri mkuu mstaafu fedrick sumaye amesema taifa letu linapitia
wakati mgumu wa uboreshaji wa elimu nakujenga hisia kuwa kiwango chaelimu
kimeshuka na kuongeza kuwa juhudi mbalimbali zimefanyika ikiwemo kurekebisha alama za madaraja mbalimbali.
‘’lakini
kama tunavyojua hayo yote hayawezi kufanya elimu yetu kuwa bora kama
tungehitaji dawa pekee yakurekebisha hali hii nikuboresha mazingira yakutolea
elimu na ufundishaji’’alisema waziri mkuu mtaafu Fredrick Sumaye.
Fredrick
sumaye alisema tunajua kuwa kunaupungufu walimu pamoja navifaa vyakufundishia
pia tuna mazingiraduni ya kutolea elimu lakini bila kufanya marekebisho katika
maeneo muhimu ya elimu nakuongeza kuwa bilakufanyahivyo elimu yetu haiwezi kuwa
naubora unaoridhisha.
Alisema
lazima tuwena walimu wakutosha ambao wanataluma zinzotakiwa nawenye moyo
wakufundisha nakusisitiza kuwa lazima kuwepo na vifaa mbalimbali na vitabu
vyakiada naziada na mazingira mazuri ya
shule zetu.
‘’aidha
tunatambua kuwa baadhi yamahitaji hayo hayawezi kupatikana kwa maramoja
yanahitaji gharama kubwa kamanilivyokwisha kuweleza kuwa ulimwengu wasasa
unahitaji kujielimisha katika sayansi na teknolojia’’aliongeza Fredrick sumaye.
Sumaye
aliongeza kuwa serikali imekuwa ikitoavivutio kadhaa kwavijana wanaotaka
kusomea masomo yasayansi lakini vivutio hivyo havija leta mafanikio makubwa .
Aliongeza
kuwa somo ambalo limekuwa msingi mkubwa kwa mtu anayetaka kusomea sayansi
niteknolojia badala yahisabati
nakusitiza kuwa katika miaka yahivikaribuni somo lahisabati limeonesha kuwa
nimoja ya changamoto zinazo zikabili wizara ya elimu na ufundi.
‘’hakuna
nchi ambayo imendelea kwakuwa nawatu wasiokuwa naulewa wa hisabati kilakitu
tuna chotenda kinategemea misingi yakihisabati halijalishi
nilakijamiii,kisiasa,kiuchumivyote vinatendeka vizuri pale ambapo pana msingi
wa hisabati’’aliongeza sumaye.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni