Na Timothy Marko.
Serikali ya Tanzania kupitia wizara yafedha imesaini makubaliano na nchi ya ufaransa juu ya
kuboresha sekta ya maji katika mikoa ambayo inaupungufu wa maji ambayo ni
mwanza katika wilaya za misungwi lamadi namagu pamoja namkoa wa musoma, bukoba.
Akisaini makubaliano hayo leo jijini, waziri wafedha saada mkuya
amesema kuwa msaada huo unatajiwa kugharimu shilingi takribani shilingi bilioni
90 ilikuweza kuendesha mradi huo,wakuboresha pamoja nakusambaza maji katika
mikoa hiyo.
‘’mradi huu unakaridiliwa utagharimu shilingi uro milioni 104.5 ambapo
mradi huu unafadhiliwa na taasisi ya maendeleo ya ufaransa ijulikanayo kama French
Development agency (AFD)ikishirikiana na serikali ya Tanzania ‘’alisema waziri
wafedha saada mkuya .
Saada mkuya alisema msaadahuo pia utajumuisha msaada wakifundi ambao
unafaadhiliwa nataasisi ya EU-Africa infrastructure Trust fund aliongeza kuwa
jumla euro milioni 7zitaweza kufanikisha mradi huo.
Aliongeza kuwa progamu hiyo nimoja ya ajenda muhimu ya maendeleo ya
kuboresha maendeleo yakiuchumi nakijamii kwa wananchi ilikuhakik isha
wananaoishi kando kando yaziwavictoria wanapata maji safi na salama,nakuboresha
mazingira katika eneo laziwa hilo la Victoria.
‘’ikumbukwe jumla yawakazi wanao
patamaji safi nasalama niasilimia 52.5katika mwaka2012 kwahiyo tunafanya juhudi
madhubuti ilikuweza kufanikisha mpango huu’’aliongeza waziri mkuya.
Kwa upande wake waziri wamambo yanje waufaransa Nicole Bricq amesema
lengo lamradi huo nikuwawezesha wananchi wa mikoa ya mwanza ,bukoba pamoja
namusoma navijiji vya misungwi,lamadi na magu kuweza kupata maji safinasalama
ilkuweza kuboresha mazingira ya ziwa Victoria amapo alisema mradi huo
utawanufaisha jumla ya wakaazi 450,000 waishio kando kando yaziwa hilo.
Aliongeza kuwa mpangohuo utawezesha kufikia malengo yamilenia ya mwaka
2025ya kupunguza umasikini kupitia huduma za maji safi na salama katika mikoa
yamwanzabukoba pamoja na msoma.
‘’mradi huu nimoja yamikakati yaserikali ya Tanzania yakupunguza
umasikini ifikaopo mwaka 2025 ukiwa nalengo ya kuwa patia wananchi wa
mwanza,musoma ,bukoba,ukiwa nalengo lsakuwa patia maji salama’’alisema Nicole
Bricq.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni