Jumatano, 26 Machi 2014

JAJI LUBUVA AVIONYA VYAMA VYA SIASA

Timothy Marko.
Tume ya  uchaguzi  imebainikuwa  baadhi  ya vyama vimekuwa vikitumia lugha ya za chuki na zizisizo na staa  nahata kuhamasisha  baadhi yawananchi  kuchukua sheria mkononi nakutoa vitisho kwa wapiga kura katika uchaguzi mdogo waubunge katika jimbo la chalinze .
Akizungumza jijini leo mwenyekiti wa Tume ya  uchaguzi nchini Damian Lubuva amesema tume hiyo imekuwa ikifuatilia mwenendo wa uchaguzi   katikajimbo lachalinze nakubaini kuwa baadhi yavyama vyasiasa vimekuwa vikitumia lugha za chuki na zisizo za staha na kuhamasisha baadhi yawananchi kujichukulia sheria mkononi.
‘’Tume ya uchaguzi imebaini kuwa baadhi ya vyama vimekuwa vikitumia lugha za chuki na zisizo na staha na hata kuhamasisha wananchi kuchukua sheria mkononi nakutoa vitisho kwa Wapiga  kura kwa lengo lakuwa zuia wasishiriki katika uchaguzi huo’’alisema Damian Lubuva .
Lubuva alisema kufuatia kuonekana kwavitendo hivyo tume yake inato onyo pamoja nakulaani vitendo hivyo kwanguvu zake zote kwa baadhi ya vyama vinavyojihusisha navitendo hivyo nawagombea wao aidha mwenkiti wa tumehiyo alisema tume hiyo ina vitaka vyama hivyo kufuata kanuni na taratibu za uchaguzi.
Alisema vyama vyote vyasiasa na wagombea kufanya kampeni za kiungwana nakunadi sera za vyama vyao kwakuzingatia sheria zilizo anishwa natume hiyo yauchaguzi nakuongeza kuwa vyama visihamasihe wanachama wao kujichulia sheria mkononi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni