Jumatatu, 10 Februari 2014

TANZANIA NA UINGEREZA YAKUBALIANA KATIKA KUENDELEZA SEKTA YA GESI NA MAFUTA

Wadau mbalimbali wa makapuni mbalimbali kutoka nchini uingereza wanatajia kufanya ziara nchini  Tanzania  tarehe 10 hadi tarehe 11 ya mwezi huu kuja kuangalia namna yakuwekeza  kwa wafanyabia shara wanchi hiyo katika nchi ya Tanzania  kwenye sekta ya gesi na mafuta.
Makampuni hayo takribani 34 kutoka uingereza yatatarijia kuwekeza katika sekta mafuta nagesi hatua hiyo imekuja baada ya kituo cha uwekezaji cha nchini uingereza kwakushirikiana na ubalozi wa uingereza kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji nchini Tanzania .
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari katika ubalozi wauingereza nchini mkuu wa maswala ya habari na siasa  Tamsin claton alisema lengo laziara hiyo ni kutambua fursa zilizopo katika masoko pamoja nakuimarisha uhusiano wa  kibiashara kwakushirikiana wizara yanishati na madini nashirika la maendeleo yapetroli nchini(TPDC) Ilikukuza uelewa wa fursa za gesi namafuta zilizopo nchini.
‘’lengo la ziara hii nikukuza ,nakuimarisha husiano wanchi hizi mbili kati ya Tanzania ,uingereza  katika kuimarisha uhusiano wa kibiashara kwakushirikiana nawizara yanishati na madini na shirika la maendeleo yapetroli nchini ilikukuza  fursa za gesi na mafuta nchini’’alisema Tamsin claton.
Claton alisema lengo la ziarahiyo nikukutana na namakampuni y andani  yaTanzania  ilikuweza kujadili maeneo mbalimbali yeny e fursa zagesi pamojana mafuta  ilikukuza ushirikiano wakudum u.
’tanzania itafaidika katika sekta ya gesi ambapo visima vya gesi 19 vitachimbwa  vyejumla yathamani ya dola bilioni 10 hadi 20 kwa kipindi cha miakukumi ijayo’’Alisema claton.
Claton aliongeza kuwa kwakipindi cha miaka ishirini iliyo pita  shughuliza uchimbaji kwenyekina kirefu chabahari  kimewezesh a kugundulika kwalitatrioni45 zaujazo zagesi wakati makampuni hayo yakiendelea na s100 zitagunduliwa.
Aliongeza  kuwa kampuni yake imeweza kufanya tafiti mbalimb alimbali katika nchi za msumbiji na nchini guinea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni