Alhamisi, 13 Februari 2014

JUMUHIA YA WAWAFANYABIASHARA YA WAFANYABISHARA NCHINI YA AFIKIANA JUU YAKODI , YAPINGA MFUMO WAUKUSANYAJI KODI KUWA UMETAWALIWA NAVITENDOVYARUSHWA



Kufuatia agizo laserikali kuwahimiza wafanyabishara kutumia mashine zakieletroniki (EFD) pindi wanapo fanya mauzo kwa wateja wake  ili serikali iweze kukusanyakodi  kw a Wafanyabish ara hao nakuleta mgogoro baina yaserikali na wafanyabisha hao, jumuhia ya wafanyabiashara nchini wametoa taamko .

 Jumuhia yawafanyabishara nchini imesema imeandika barua kwa Rais Jakaya kikwete yakuonana na Rais kikwete kufuatia nakauli zinazopingana za mawazili wawili ambao ni waziri wafedha naile yawizara viwanda nabiashara ambapo jumuhia hiyo iliwasilisha baruahiyo  5feburary mwaka huu nakuiwa kilisha kwa kurugenzi yamwasiliano ikulu  nakumkabidhi ndugu salver Rweimamu siku ya tarehe 11 feburary mwaka huu  na kupewa ahadi ya kukutana Rais.

Akizungumza leo nawaandishi wahabari jijini ,makamu mwenye kiti wajumuhia ya wafanyabiashara nchini  Partik Masagati amesema  baada yakuwasilisha baruhiyo ,tarehe 12 Feburary mwakahuu ndipo walipokutatana  katibu wa rais prosper mbena  nakuwataka wafanyabishara hao kutoa kero na malami ko ili waweze kukukuta na Rais . 

Partick masagati alisema baada yakutoa kero zao kwa katibu wa Rais ndipo siku hiyohiyo walipata mwaliko kutoka ofisi yawaziri mkuu kupitia kwa naibu waziri wa fedha nakutoa magizo kuwa  ana wahitaji  sikuhiyo.
‘’ Tulifarijika sana kusikia hayo nakufanikiwa baada yakukutana waziri mkuuMizengo  pinda ,waziri mkuu alituomba kuelekeza  hoja namalalamiko yetu  yaliyopelekea wafanyabishara kufungua maduka  baada yakuleza kero mbalimbali ‘’alisema partiki masagati.

Masagati alisema malamiko ambayo wafanyabishara wanadai  niyakimfumo hali inayopelekea kwa wafanyabiashara hao  kuto kuwa nahaliyasitofahamu kwa uendeshaji wabishara zao.
Aliongeza kuwa msingi wamalalamiko hayo nikutokana nakuwepo kwa mianya ya rushwa katika meneo yabandari na matumizi ya mashine zakietroniki hali inayopelekea mianya  ya rushwa  kwa baadhi yawatendaji wa mamlaka ya mapato .

‘’waziri mkuu alitupongeza kwa  jinsi kuteng’eza hoja kujenga hoja nakuongeza mapato ya serikali nakubaini mianya yarushwa na kuhaidi ataifanyikazi ‘’aliongeza  partik masagati .
Aliongeza kuwa Kufatia hayo wazirimkuu ameweza kuchukua hatua za awali ikiwemo kufuta notisi zilizotolewa  na mmlaka ya mapato  utekekezwaji  usitishwe.
Mwenyakiti wajumuhia hiyo alisema waziri mkuu amedridhia kuundwa kwa chombo malumu kitakacho pitia mfumo wa kodi nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni