Waziri mkuu mizengopinda
amezindua sera ya mapitio yaviwanda ili katika kuleta maendeleo sekta
yaviwanda kuwa na maendeleo ya kiuchumi kwakushirikiana na taasisi za nje na
ndani ya nchi.
Akizindua mpango
huo wasera ya mapitio ya viwanda leo, waziri mkuu Mizengo pinda amesema
kwakushirikiana serikali pamoja na taasisi binafsi Tanzania imekuwa katika
mabadiliko ya kiuchumi katika kukuza sekta binafisi za nje nazile ndani hasa
zile za viwanda ilikufikia malengo ya kuondoa umasikini ifikapo mwaka2025.
Aidha mizengo
pinda alisema lengo ya mabadiliko hayo ni kuimalisha sekta biashara namazingira
yauwekezaji ilikuleta matokeo yatakayo wawezesha wawekezaji wanje kuja kuweza
kuwekeza nchini Tanzania nakuonyesha fursa za kiuchumi zilizopo nchini.
‘’tumeshuhudia
makampuni yakigeni yakiwekeza katika sekta mbalimba limbali ikiwemo sekta za
madini ,mafuta,gesi nakuimarisha huduma kwamfano shilika la FDI limeweza kuleta
fedha zakigeni takribani dola 3738.3milioni katika mwaka wa 2010 ,wakati mwaka
2011 takribani dola milioni 4123 zimekuwa zikikusanywa.’’alisema waziri mkuu
mizengo pinda.
Mizengo pinda
alisema katika sekta yakilimo pekeyake imeweza kuongezeka kutoka dola za
kimarekani shilingi milioni 304.5 kwakipindi cha mwaka 2010 hadikufikia dola
zakimarekani milioni 355.4 kutoka dola zakimarekani 304.5 katikakipindi cha
mwaka 2011.
Aliongeza kuwa
sekta yaumeme nagesi imelingizia taifa dola zakimareka ni kutokadola328.6 hadi
kufikia d0la 539.5 milioni katika mwaka 2010 hadi 2011.
Alifafanua kuwa
sekta ya uzalishajibidhaa viwandani imeongeza pato kutoka dola za kimarekani
miloni 1332 katika mwaka 2010 hadi kufikia dola milioni 1520.5katika mwaka
2011.
‘’katika
sekta yahuduma kumekuwa naongezeko lakutoka kiasicha shilingidola milioni747
hadi kufikia 872 milioni 2011.
aliongeza kuwa mabadiliko hayo yametokana nakuwepo na mazingira mazuri yakijografia na hali yautulivu na amani nakuwezesha pato lataifa kukua kutoka asilimia 7.mwaka jana hadi kufikia asilimia 7.2 mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni