Jumatano, 22 Januari 2014

SERILIKALI IMEPANGA MIKAKATI YAKOKOMESHA VITENDO VYA UKATILIKIJINSIA DHIDI YAWATOTO KWAKUWA HUSISHA JESHI LAPOLISI


Timoth  Marko
Serikali  imejiwekea mkakati wakuhakisha huduma kwawatoto walioathiriwa kijinsia zina patikana haki zao zinalindwa ilikupunguza vitendo vyaukatiliwa kinjinsia  dhidi yawatoto vinakomeshwa.
Akizungumza leo nawaandishi wahabari  waziri wa afya naustawi wajamii Seif Rashid amesema mpango wakukomesha ukatili dhidi yawatoto umekuja baada yaserikali kwakushirikiana namashirika yasiyo yakiserikali ya  plan international na serve the children pamoja na unicef.

‘’mpango huu tayari umeshaanza ambapo kwaujumla mpango huu ni wamiaka miwili au mitatu ambao unalenga katika kutoa huduma kwa watoto walioathirika nakuhakikisha hakizao zinalindwa ‘’alisema seif Rashid 

Waziri  seif rashidi alisema lengo kubwa nikuteng’eneza mifumo ya itakayowawe zesha watoto wanaopata matatizo kuweza kupata haki zao pindi wanapo pata vitendo vya ukatili dhidi yao kwa kuwashirikisha jeshi la polisi  katika dawati maalumu linalo shughulikia vitendo vyaukatili wakijinsia dhidi ya watoto.

Alisema tukio la mpango wakukomesha vitendo vya ukatili dhidi yawatoto  linalo ratidiwa na shirika laumoja wamataifa linaloshulikia maswala ya watoto (UNICEF)umekuja huku ukiwa nalengo lakuunganisha kanda zote kwaku shirikiana nawadau mbalimbli wamaswala ya watoto ikiwemo shirika la unicef ,pamoja na serve children ikishirikiana na shilirika la plan international.

Aidha DK Seif Rashid aliongeza kuwa kumekuwa nataarifa nyingi za watoto kudhalililishwa nakupata maradhi ya maambukizi ya virusi vyaukimwi  hali inayo wapelekea kuacha masomo .

‘’nimuhimu kutekeleza mpango huu wakuwalinda dhidi yavitendo vyaukatili wa kijinsia wanao fanyiwa watoto kitaifa ilikuwazesha katika jitihada za kukomesha vitendo vyaukatili wakijinsia dhidi yawatoto’’alisema DK Seif Rashidi waziri wa afya na ustawi  wajamii.

Kwa upande wake muwakilishi wa wa toto wenye ulemavu kutoka shule ya viziwi ya msingi ya buguruni Zaina  Hemedi alisema kumekuwa na matatizo kwa watoto wenye ulemavu kufichwa lakini serikali ipo kipaumbele katika kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya elimu.

‘’tunaishukuru  serikali kwakutujali sisi watu wenyeulemavu  pamoja na jumuhia ya ulaya pamoja shiirika la umoja wamataifa linalo shugulikia watoto katika kutuwezesha kupata elimu’’alisema Zaina Mohamedi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni