SERIKALI
imefanya uchunguzi wakina kuhusiana na utaratibu wa udalali wakukodisha
wafanyakazi katika makapuni mbalimbali unaofanywa nabaadhi ya wakala
binafsi wa huduma binafsi waajira nchini
nakubaini kuwa wakala hao wanafanya kazi
hiyo kinyume cha sheria .
Akizungumza
na waandishi wahabari leo waziri wakazi naajira Gaudencia kabaka amesema wakala
hao wamekiuka sheria ya huduma za ajira Na9 ya mwaka 1999 sura 243 kama ilivyorejwa
mwaka 2002.
‘’kwamujibu
washeria hii kifungu namba 4 ,majukumu ya msingi ya mawakala wahuduma
zaajira ni kuwaandaa na kuwaunganis ha
watafuta kazi na waajiri kwa kutoa
mafunzo na ushauri elekezi kwa watafuta kazi’’alisema Gaudencia kabaka.
Waziri Gaudencia
kabaka alisema wizara imebaini kuna mbinu ambazo sio sahihi wazotumiabaadhi ya
waajiri pamoja na mawakala hao katika kukwepa kodi na kujinufaisha
kwakutowapa haki wafanyakazi wanaofanya katika makampu hayo.
Alisema baada
yamamlaka yamapato nchini TRA,kufanya uchu nguzi nakubaini kuwa makampuni hayo
yamekuwa yakikwepa kodi ya pay nakodi yamapato.
‘’makapuni
haya yamekuwa yakikwepa kodi kinyume cha sheria katika kifungu cha 7 cha
sheria ya kodi yamapato ya mwaka 2004
sura 332 kama ilivyorejerewa mwaka 2008’’alisema waziri wa ajira .
Waziri kabaka
aliongeza uchunguzi huo umebaini athari mbalimbalikwa waajiriwa athari hizo nipamoja nawafanyakazi
kukosa haki za hifadhi za jamiiikiwemo likizo
ya uzazi.
‘’athari
zingine kukosa fursa zakujiendeleza kielimu na mafunzo na pamoja wafanyakazi
kulipwa mishara ya kima cha chini
kinyume na sekta wanaofanyia kazi “alisema
waziri Gaudencia .
Kufuatia uchunguzi
huo serikali imeamua kusitisha mara moja
utaratibu wamawakala kwa waajiri wafanyakazi wanaowatafuti kazi .
Waziri kabaka
alisisitiza kuwa uchunguzi ilikubaini kama kuna wa fanyakazi wa kigeni
wanaohusishwa katikakukodishwa ili hatua
zinastahili ziweze kuchukuliwa ikiwa nipamoja na kuwa ombe waombe vibali vya
ajira kwa mujibu wa sheria.
‘’WIZARA yakazi inawaelekeza mawakala wahuduma
za ajira nchini wanapaswa kuwasilisha barua za maombi ya usajili wauwakala kwa kamishina wakazi na ajira
kwamujibu wa sheria ya huduma za ajira namba9 yamwaka1999 ilivyorejewa 2002 ili
waweze kufanya sahuguliza uwakala
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni