BARAZA la usafiri wa nchi kavu na majini(SUMATRA)
limetoa angalizo kwa wasafiri watakao safiri kipindi cha sikuku za mwisho wa
mwaka kuhakikisha wanasafiri kutokana nakiwango kilicho pangwa na mamlaka ya
baraza hilo.
Aidha
baraza hilo la (sumatra)limwetoaangalizo hilo kufuatia kwa baadhi ya
abiria kukubali kiwango ambacho hakija idhinishwa na mamlaka hiyo na kuzua
malamiko kwa baadhi ya abiria wanaosafiri katika kipindi cha sikuku za mwisho
wa mwaka.
Akizungumza na waandishi wahabari
jijini jana,katibu mtendaji wa baraza lawatumiaji wanchi kavu namajini
(Sumatra) Oscar kikoyo alisema anatoawito kwa abiria kuripoti vitendo vya namna
hiyo kama vitajitokeza kwa mwaka huu .
Osca kikoyo alisema kumekuwa
natabiakwabadhi yawafanyabishara kufanya huduma ndani ya mabasi na kufanya
matangazo kwenye mabasi hayo jambo ambalo linaleta usumbufu kwa baadhi ya
abiria wanaosafiri kwenye mabasi hayo.
“Mabasi mengi ya abiriayamegeuzwa
kuwa soko au sehemu yamatangazo ya bidhaa,baadhi yamadereva wamekuwa
wakiwaruhusu wafanyabiashara ndogo kama karanga,korosho,jambo ambalo lina leta
usumbufu kwa abiria wanaopenda kujisomeandani ya au kupumzika ndani ya
mabasi.”alisema osca kikoyo .
Kikoyo aliongezakuwa kitendo cha kuwaruhusu
wafanyabiashara hao kufanya shughulizao ndani yamabasi nikitendo kinachoweza
kkuhatarisha usalama wa abiria na mali zao nyakati za safarini.
‘’Baaraza
la Sumatra linatoa wito kwa TABOA kuendesh mabasi yao kwamwendo unaokubalika
nakutoa usalama wa abiria kwanza najambo lakupata fedha liwe la baadaye”alisema
osca kikoyoNa mwandishi wetu Timoth Marko
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni