Jumanne, 1 Novemba 2016

LOWASA NA SUMAYE WAHUDHURIA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA MAPEMA HII LEO.

Aliyekuwa  mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa na Waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ikiwa ni siku ya kwanza tu ambapo kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.



Mawaziri hao wastaafu waliokihama Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inasemekana walikwenda mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni