Alhamisi, 3 Novemba 2016

MAKONDA AZITAKA TAASISI ZA ELIMU NCHINI KUWEKA MKAZO KATIKA MASOMO YA SAYANSI .

Tokeo la picha la paul makonda

MKUU WAMKOA  PAUL Makonda

Timothy Marko.

Timothy Marko
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezitaka taasisi za elimu nchini kuweka mkazo kwa wanafunzi wanaowafundisha Kuweza kujua masomo ya sanyansi ilikuweza kukuza sekta yaviwanda nakuweza kuiwezesha Tanzania kuwa nchi ya uchumi wakati .

Akizunguza katika hafla yakukabidhi madawati katika shule ya Al-Mutazah jijini Dar es salaam Makonda amesema kuwa ili nchi yoyote iweze kukua katika sekta yaviwanda nilazima iwekeze katika masomo ya sayansi .

''ili nchi iwe nauchumi imara lazima jitahada za kuwekeza katika masomo yasayansi uwe madhubuti ,kwani masomo haya yasayansi hayana ugumu wowote ,ugumu wa masomo haya unakuja pale unaposimuliwa na mtu ''Alisema Mkuu wa Mkoa Paul Makonda .

Makonda alisema kuwa katika kutekeleza ahadi yake yakukuza uelewa kwa wanafunzi wa masomoyasayansi ametoa ahadi yake kwamwalimu yoyote atakaweza kufaulisha somo la sayansi atapewa shilingi milioni mbili .

KATIKA hatua nyingine Mkuu wamkoa ameweza kupokea madawati katika shulehiyo yenye thamani yamilioni miambili kutoka kwa mfanyabiashara maarufu azimu Dewij ilkuweza kuondokana na tatizo la uhaba wamadawati unaozikabili shulenyingi za mkoa wa Dar es salaam. 
Mkuu wa shule hiyo intial Haji amesema kuwa shule hiyo inaitaka serikali kuhakikisha shule zote za jijini Dar es salaam kutokaa nchini nabadala yake serikali kuweka juhudi za wanafunzi wamkoa huo wanapata madawati .
Haji amesema kuwa Historia inaonesha kuwa shulehiyo imekuwa mstari wambele katika sekta ya elimu hadi sasa shule inawanafunzi wapatao 50000 ambapo watoto waawaziri nawatu maarufu wameweza kuhitimu katika shule hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni