Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumanne, 1 Novemba 2016
LOWASA NA SUMAYE WAHUDHURIA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA MAPEMA HII LEO.
Aliyekuwa mgombea wa urais
kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa na Waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ikiwa ni siku ya kwanza tu ambapo kikao cha
kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
Mawaziri hao wastaafu waliokihama Chama Cha Mapinduzi
na kujiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inasemekana walikwenda
mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa
CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni