HATIMAYE Soko la hisa la Dar es salaam DSE,limeweza kufikia
malengo yake Baada ya kuuza hisa zake katika makapuni mbalimbali nakuweza
kufisha shilingi Biloni 35.7 baada kuuza hisa 150000 kwashilingi 500 ambapo
kampuni hiyo awali likuwa inahitaji shilingi bilioni 7.5sawa naongezeko 376 ya
kiwango kilichokuwa kinahitajika na na soko hilo la mitaji nchini .
Akizunguza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar
es salaam Afisa Mtendaji wa soko hilo Moremi Marwa amesema kuwa ongezeko hilo
limechangiwa na wawekezaji wanje kuukuza mtaji wao kupitia soko hilo kwakiasi
cha shilingi bilioni 25 wakati huo huo wawekezaji wa ndani waliweza kukuza
mtaji yao kupitia soko hilo kwa shilingi bilioni10 .
‘’Kutokana namatokeo haya tumeweza kupata shilingi bilioni
22ambazo hapo awali hatukuwa tunazihitaji hapo awali hivyo basi kutokana
namatokeo haya tunawahaidi wateja wetu nawawekezaji kupitia soko letu lahisa
tutashirikiana na ili kiwango cha uwekezaji katika soko letu kiwezekuongezeka
mara dufu ‘’’AlisemaMoremi Marwa .
Afisa Mtendaji wa Soko la hisa la Dar es salam Marwa alisema
kuwa huu niwakati muhimu kwa wawekezaji kuweza kuwekeza mitaji yao kwa kununua
hisa zinazotolewa na makapuni mbalimbali kupitia soko hilo .
Mkuu wakitengo cha ushauri wa kibiashara Kampuni Orbit
Securites Co.ltd LaureanMalawi wa soko
lahisa la Dar es salaam linalo fursa nyingi katika kukuza mtaji nakuweza
kujenga uchumi kwa wawekezaji wanaonunua hisa kupitia soko hilo .
Alisema kuwa kumeweza kuwa na maombi ya watu
wengi ambapo jumla ya watu 3200 wanaomba kuwekeza katikasoko hilo kupitia
masoko yamitaji nihatua kubwa hali hii hiyo inatoa dira kuwa soko hilo limeanza
kukuza ushindani katika Masoko mengine ya mitaji barani afrika ikiwemo soko
lahisa la Nairobi nalile lakutoJohanseburgafrika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni