MWENYEKITI WA CHAMA TLP KULIA AKIZUNGUZA NA WANDISHI WA HABARI KUSHOTO NI MSAIDIZI WAKE MSOMI MSHANA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJINI DAR ES SALAAM. |
MWENYEKITI
wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP)Agustino Mrema ameshangazwa nakitendo
cha vyama vya upinzani kuelekezea nguvu zote kwenyejimbo lavunjo ambalo hapo
awali akimiliki kufuatia uchaguzi wahivi karibuni kumuondoa mbunge huyo katika
jimbo hilo .
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo, Mwenyekiti huyo amesema kuwa
ameshangazwa nakitendo cha vyama vyaupinzani kuweza kushupalia jimbo hilo huku
wakiacha majimbo mengine kuweza kuchukuliwa nachama cha mapinduzi (CCM).
‘’Sekretarieti
ya chama imeshangazwa ni kwanini nguvu zote hizo zilitumika katika jimbo
lavyunjo kumung’oa mwenyekiti wake ambayo tayari yalikuwa yanamilkiwa
naupinzani nguvu hizo zingetumika kwenye
majimbo ya CCM ilikuweza kuongeza idadi yawabunge waupinzani bungeni ‘’Alisema Agustino
Mrema .
Mrema
alisema kuwa kitendo kilichofanywa navyama vyaupinzani nikinyume chadhana
yamshikamano wavyama hivyo hali
inayopelekea chama chamapinduzi kuwa na wabunge wengi bungeni.
Alisema kuwa
kitendo kilichofanywa nawabunge hao kumnyanganya ubunge katika jimbo hilo
alikuwa akimiliki hapo awali ni hujuma .
‘’ Msaidizi
wangu MSOMI Mshana walikiri wazi mwenyekiti wao alichezewa rafu lakini
alipofungua kesi walinichangia kama mpira wakona nakulazimika nitoeshilingi
milioni 40 kama gharama za kuendesha kesi’’Aliongeza MREMA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni