Jumanne, 14 Juni 2016

MREMA ASHANGAZWA NAKITENDO CHA VYAMA VYA UPINZANI KUNYAN'GANYA JIMBO LAKE.

MWENYEKITI WA CHAMA TLP KULIA AKIZUNGUZA NA WANDISHI WA HABARI KUSHOTO NI MSAIDIZI WAKE MSOMI MSHANA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
Timothy Marko.
MWENYEKITI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP)Agustino Mrema ameshangazwa nakitendo cha vyama vya upinzani kuelekezea nguvu zote kwenyejimbo lavunjo ambalo hapo awali akimiliki kufuatia uchaguzi wahivi karibuni kumuondoa mbunge huyo katika jimbo hilo .

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo, Mwenyekiti huyo amesema kuwa ameshangazwa nakitendo cha vyama vyaupinzani kuweza kushupalia jimbo hilo huku wakiacha majimbo mengine kuweza kuchukuliwa nachama cha mapinduzi (CCM).

‘’Sekretarieti ya chama imeshangazwa ni kwanini nguvu zote hizo zilitumika katika jimbo lavyunjo kumung’oa mwenyekiti wake ambayo tayari yalikuwa yanamilkiwa naupinzani  nguvu hizo zingetumika kwenye majimbo ya CCM ilikuweza kuongeza idadi yawabunge waupinzani bungeni ‘’Alisema  Agustino  Mrema .

Mrema alisema kuwa kitendo kilichofanywa navyama vyaupinzani nikinyume chadhana yamshikamano wavyama  hivyo hali inayopelekea chama chamapinduzi kuwa na wabunge wengi bungeni.

Alisema kuwa kitendo kilichofanywa nawabunge hao kumnyanganya ubunge katika jimbo hilo alikuwa akimiliki hapo awali ni hujuma .


‘’ Msaidizi wangu MSOMI Mshana walikiri wazi mwenyekiti wao alichezewa rafu lakini alipofungua kesi walinichangia kama mpira wakona nakulazimika nitoeshilingi milioni 40 kama gharama za kuendesha kesi’’Aliongeza MREMA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni