Jumatatu, 6 Juni 2016

KIWANGO CHAMAUZO YA HISA DSE CHAPANDA .


Tokeo la picha la marry kinabo

Meneja Mauzo mwandamizi wa soko la hisa Dar es salaam Merry Kinabo akizungumza na waandishi wahabari  mapema hii leo jijini Dar es salaam.



Timothy Marko.
Kiwango chamauzo yahisa katika soko lahisa la Dar es salaam kimeongezeka kutoka shilingi bilioni 4.9 hadi kufikia shilingi bilioni 5.5sawa na asilimia 13wakati huohuo hisa kiwango chahisa zilizouzwa nakununuliwa kimeshuka kwa asilimia 71kutoka shilingi 665,748 kutoka milioni 2.2

 Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Meneja Mauzo mwandamizi wa soko lahisa la Dar es salaam(DSE) Mery Kinabo amesema kuwa ongezeko hilo linafuatiwa kushuka kwa ukubwa wa mtaji kushuka kutoka 21.2 trioni hadi kufikia trioni 22.1.

''Kampuni tatu zinzoongoza katika kuuza nakununuliwa nipamoja na TCC,swisspot,na benki ya NMB wakati ukubwa amtaji wamakampuni yandani umepungua kwa asilimia 2.1 kutoka trioni 8.3 hadi kufikia 8.4''Alisema Afisa mwandamizi Kinabo.

Afisa Mwanamizi  kinabo alisema kuwa sekta yaviwanda imepungua kutoka ponti94.75 wakati sektahuduma zakibekiimeshuka kwaasilimia 90.42.baada ya bei kushuka kwenye kaunta NMB kwaasilimia 6.83 

''Sekta yahuduma za kibiashara wiki hii imepanda kwa point 4.19baada yabei kupanda kwenye kaunta ya swissport 0.15''Aliongeza Kinabo.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni