Ijumaa, 3 Juni 2016

MEYA MAANISPAA ILALA AWATAKA WATENDAJI WAKE KUONGEZA WIGO WAUKUSANYAJI MAPATO.

Tokeo la picha la CHARLES KWIYEKO
MEYA WA MANISPAA ILALA CHARLES KWIYEKO.

Timothy Marko.
MEYA wamanispaa ya ilala jijini Dar es salaam Charles Kwiyeko amewataka watendaji wamanispaa hiyo kukusanya shilingi milioni 85 ilikuweza kuboresha sekta yamiundombinu iliyopo katika manispaa hiyo.

Akizungumza katika kikao kilichowakutanisha watendaji wamaspaa hiyo Meya Charles Kwiyeko amesema kuwa awali manispaa hiyo ili kusanya shilingi milioni 50 fedha ammbazo zilikuwa zimetokana natozo mbalimbali ikiwemo majengo .

''Kama viongozi wamanispaa hii ya ilala mkijipanga ilkuweza kukusanya shilingi milioni 85 kwamwaka tofauti hivi sasa mmeweza kusanya shilingi milioni 50 kwamwaka nilazima mtanue vyavzo vya upatikanaji wamapato ikiwemo kukusanya kodi za mabango mbalimbali yaliyopo katikati yajiji ilikuweza kuongeza makusanyo ''alisema Meya Charles KWIYEKO .

MEYA KWIYEKO alisema kuwa nilazima manispaa hiyo itafute mbinu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato ikiwemo kuongeza vyanzo vyausanyaji wa mapato katika manispaa hiyo ilikuweza kuendana nakasi yamendeleo ya manispaa hiyo .
Alisema nivema viongozi wamanispaa hiyo kuweza kujipanga kwa malengo katika ukusanyaji wa mapato ilkuweza kuondoa kero za wananchiikiwemo kero yamaji namiundo mbinu na barabara.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni