Meneja Mauzo mwandamizi wa soko la hisa Dar es salaam Merry Kinabo akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam. |
Timothy Marko.
Kiwango chamauzo yahisa katika soko lahisa la Dar es
salaam kimeongezeka kutoka shilingi bilioni 4.9 hadi kufikia shilingi bilioni
5.5sawa na asilimia 13wakati huohuo hisa kiwango chahisa zilizouzwa
nakununuliwa kimeshuka kwa asilimia 71kutoka shilingi 665,748 kutoka milioni
2.2
Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar
es salaam Meneja Mauzo mwandamizi wa soko lahisa la Dar es salaam(DSE) Mery
Kinabo amesema kuwa ongezeko hilo linafuatiwa kushuka kwa ukubwa wa mtaji
kushuka kutoka 21.2 trioni hadi kufikia trioni 22.1.
''Kampuni tatu zinzoongoza katika kuuza nakununuliwa nipamoja na TCC,swisspot,na benki ya NMB wakati ukubwa amtaji wamakampuni yandani umepungua kwa asilimia 2.1 kutoka trioni 8.3 hadi kufikia 8.4''Alisema Afisa mwandamizi Kinabo.
Afisa Mwanamizi kinabo alisema kuwa sekta
yaviwanda imepungua kutoka ponti94.75 wakati sektahuduma zakibekiimeshuka
kwaasilimia 90.42.baada ya bei kushuka kwenye kaunta NMB kwaasilimia 6.83
''Sekta yahuduma za kibiashara wiki hii imepanda kwa
point 4.19baada yabei kupanda kwenye kaunta ya swissport 0.15''Aliongeza
Kinabo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni