Jumatatu, 30 Mei 2016

TACADIS :KUMEKUWA NA MAMBUKIZI MAPYA VVU KWA WATOTO WENGI NCHINI.

Timothy Marko .
Tume yakudhibiti ukimwi nchini(TACADIS)imesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa yamaambukizi mapya ya virusi vyaukimwi ambapo TANZANIA imekuwa ikiwalenga zaidi watu wenye umri wa miaka 15 hadi 45 kama kundikubwa linalo athirika zaidi na ugonjwa huo huku kumekuwa naidadi kubwa yamaambukizi yavirusi hivyo kutoka kwa mama kwenda kwamtoto.

Akizungumza katika uzinduzi waripoti hali ya ugonjwa waukimwi nchini Mwenyekiti wa Tume hiyo DK.Fatuma Mrisho amsema kuwa hali yaugonjwa waukimwi imekuwa ikipimwa katika vipindi tofauti ambapo utafiti wa kwanza kuhusiana naugonjwa huo ulifanyika mwaka 2012 nakuweza kutolewa katikapindi chamiaka minne pamoja na mwaka huu.

''Ilikuweza kupambana najanga hili serikali nilazima kutafuta rasmali za nje na ndani ilikuweza kufikia sifuri tatu katika kiwango chamaambukizi mapya vitokanavyo navirusi vya ukimwi ''Alisema .

Fatuma Mrisho alisema kuwa lengo lakuweza kufanya tafiti mbalimbali kuhusiana naunjwahuo nikuwezesha watungasera pamoja nawadau mbalimbali naserikali kuweza kutambua kiwango cha maambukizi ilkuweza kupanga mipango mbalimbali yamaendeleo.

Mkurugenzi wa ofisi ya Takwimu nchini DK. Albina Chuwa amesema kuwa takimu zinazotolewa naofisi yake zinalenga kuziwezesha serikali nataasisi kuweza kupanga mipango ya maendeleo nakuweza kufikia malengo .

Alisema katika mapambano yaugonjwa waukimwi hayalengi serikali tu pekeyake bali yanalenga vyombo vya habari katika kutoa elimu juu ya mambukizi mapya yavirusi vya ukimwi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni