Timothy Marko.
SOKO la hisajijini Dar es salaam(DSE)linatarajiwa kuuza hisa zake kwenye makapuni mbalimbali nchini kuanzia may16 mwaka huu ambapo zoezi hilo la uuzwaji wa hisa hizo linafuatia soko hilo kuorordheshwa kama soko la mitaji kwenye kampuni.
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja Mauzo na Biashara Patrick Mususa amesema kuwa kutokana nawanahisa wanao wekeza katika soko hilo wamekuwa wakivutiwa zaidi na hisa zinazouzwa katika soko hilo ilikuweza kuwekeza katika makapuni hayo.
''Mauzo ya soko yamekuwa yakipanda nakushuka hali inayo changiwa mauzo yahisa kushuka wawekezaji wengi wamekuwa wakifuata mkumbo zaidi katika kuwekeza katika makampuni kwakununua hisa hali iliyochangia kupanda na kushuka kwa mauzo ''Alisema Meneja Mauzo Patrick Mususa .
Mususa alisema kuwa kumekuwa namwamuko kwa wananchi wemekuwa wakijitokeza kununua hisa hizo kupitia mitandao yasimu mbalimbali iliyopo nchini .
Alisema kumekuwepo kwa bei ndogo yahisa zinzouzwa ampapo kiwango chachini cha hisahizo shilingi mia tano kwahisa miamoja hali iliyochangiwa kuwepo kwa huduma yahisa kiganjani inayortumiwa namakapuni mbalimbali yasimu nchini.
''ukubwa wasoko katikamapuni yandani yameweza kupanda kutokashilingi trioni 1.4 hadi kufikia trioni 1.8 ambapo makampuni yandani yanayoongoza nipamoja na NMB na CRDB''Aliongeza Mususa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni