Jumatano, 11 Mei 2016

SERIKALI YATAKIWA KUAJIRI WATALAAM WASEKTA YA TEHAMA WENYE UWEZO .



Timothy Marko.
WADAU wasekta ya Tekinolojia ya mawasiliano (TEHAMA ) wameitaka serikali kuweza kujiri watalamu wakutosha ilikuweza kukabiliana na tatizo la uhalifu Unayofanyika mitandaoni .

Akizungumza katika washa juu ya uhalifu mitandaoni jijini Dar es salaam Gabrieli Kivuti amesema kuwa tatizo lauhalifu mitandaoni nisuala  mtambuka hivyo jitihada zaidi zinatikiwa kutumika katika kudhibiti vitendo hivyo.

‘’ Uhalifu unatokea kwenye mitandao ni mkubwa ikiwemo usafirishaji wa binadamu ,madawa yakulevya serikali pamoja nawadau mbalimbali tuwezekuangalia ninamnagani yakupunguza tatizo hili katika nchi yetu ‘’Alisema Kivuti .

Mtalamu kivuti alisema kuwa tatizo lakukua kwa uhalifu nitatizo lakimataifa hivyo nilazima watalaamu wa uhalifu mtandao kuweza kupata ujuzi wakutosha ilkuweza kukabiliana natatizo hilo.

Alisema serikali inawajibu mkubwa kwa kushirikiana wadau wasektahiyo ya kuweza ilkuweza kukabiliana na tatizo la uhalifu mtandaoni .
‘’Tunaitaka serikali kuweka watalaam wa uhalifu mtandaoni ilkuweza kuiweka nchi yetu katika mikono salama ‘’Aliongeza Gabriel kivuti.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni