Timothy
Marko.
WADAU
wasekta ya Tekinolojia ya mawasiliano (TEHAMA ) wameitaka serikali kuweza
kujiri watalamu wakutosha ilikuweza kukabiliana na tatizo la uhalifu
Unayofanyika mitandaoni .
Akizungumza
katika washa juu ya uhalifu mitandaoni jijini Dar es salaam Gabrieli Kivuti
amesema kuwa tatizo lauhalifu mitandaoni nisuala mtambuka hivyo jitihada zaidi zinatikiwa
kutumika katika kudhibiti vitendo hivyo.
‘’ Uhalifu
unatokea kwenye mitandao ni mkubwa ikiwemo usafirishaji wa binadamu ,madawa
yakulevya serikali pamoja nawadau mbalimbali tuwezekuangalia ninamnagani
yakupunguza tatizo hili katika nchi yetu ‘’Alisema Kivuti .
Mtalamu
kivuti alisema kuwa tatizo lakukua kwa uhalifu nitatizo lakimataifa hivyo
nilazima watalaamu wa uhalifu mtandao kuweza kupata ujuzi wakutosha ilkuweza
kukabiliana natatizo hilo.
Alisema serikali
inawajibu mkubwa kwa kushirikiana wadau wasektahiyo ya kuweza ilkuweza
kukabiliana na tatizo la uhalifu mtandaoni .
‘’Tunaitaka
serikali kuweka watalaam wa uhalifu mtandaoni ilkuweza kuiweka nchi yetu katika
mikono salama ‘’Aliongeza Gabriel kivuti.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni