HOSPITALYA OCEN ROAD |
Timothy
Marko .
ZAIDI ya WATANZANIA 10000 kati ya100 hugundulika kuwa na tatizo
lasaratani ambapo kati yao ni wenye umri kati miaka 25hadi 45 hugundulika kuwa
navimelea vya ugonjwa wa saratani .
Takwimu hizo
zimetolewa hii leojijini Dar es salaam na Dakitari Bingwa wa Magojwa ya saratani
Katika hospitali ya TMJ Kweka WALTER wakati akizungumza wandishi wa habari juu
ya madhara yaugonjwa wa saratani nchini .
‘’KIla mwaka
Tanzania huweza kupata wagojwa wapya 44000
wenye ugonjwa wasaratani ambapo takwimu zinaonesha katika hospitali ya ocen
road 1510 katika kipindi cha mwaka 2010 walipatikana na ugonjwa washingo
yakizazi ikilinganishwa mwaka 2013 ambapo wagonjwa 1769 waliweza kupatikana na
ugonjwa huo’’Alisema Dakitari Bingwa Kweka Walter
Dakitari
Walter alisema kuwa jumla yawagonjwa 386 katika kipindi cha mwaka 2010 waliweza
kugundulika kuwa na ugonjwa wasaratani yamatiti ikilinganishwa 785 walipatikana katika kipindi cha mwaka
2013.
Alisema wagonjwa tezi dume katika kipindi cha mwaka 2013
walikuwa ni96 ikilinganishwa wagonjwa 115 ambao ni wanaume walioathirika na
naugonjwa huo .
‘’kwasasa
hospitali yaocen Road inahudumia wagonjwa kati 4000mbaka 5000 walio naugonjwa washingo
yakizazi ‘’Aliongeza Dakitari Kweka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni