Timothy Marko.
WANAFUNZI
nchini wametakiwa kujisajili katika mashindano ya SCHOLAR challenge linaendeshwa
na soko lahisa la Dar es salaam ilikukuza uelewa washughuli zinazo fanywa na
soko hilo.
Akizungumza
na waandishi wahabari mapema hii leo Meneja mauzo na masoko wa soko la HISA
Mary KINABO amesema kuwa katika shindano hilo jumla ywanafunzi wa vyuo vikuu
200 wameweza kujisajili katika shindano la Schollar challenge linaloendeshwa na
soko hilo
.
‘’Wanafunzi
wavyuo mbalimbali wapatao 200 wameweza kujisajili katika shindano la Schollar
INVESTMENT Challenge linalo endeshwa na soko letu lahisa la Dar es salaam
ninawaomba wanafunzi wajitokeze Zaidi katika shindano hili ilikuweza kujikwamua
naumasikini ‘’Alisema Meneja Mauzo na Masoko Mery Kinabo .
Afisa Mauzo
Mary alisema kuwa katika kuliwezesha soko hilo kuweza kukuwa kibishara
nakuwavutia wawekezaji nchini jumla yahisa milioni 145 ziliuzwa katikakipindi
cha wikimoja ambapo jumla ya shilingi bilioni 7.2 ziliuzwa ikilinganishwa na
shilingi bilioni 2.9 kwa wiki iliyopita .
Alisema kuwa
makapuni yanayoongoza katika uzwaji wa hisa hizo nipamoja na benki ya CRDB
,Kampuni yasigara yaTCC na benki ya kibishara ya NMB .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni