Jumatatu, 14 Machi 2016

WANAFUNZI2OO WAVYUO VIKUU WAJIUNGA KATIKA SHINDANO LA SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE.



Timothy Marko.
WANAFUNZI nchini wametakiwa kujisajili katika mashindano ya SCHOLAR challenge linaendeshwa na soko lahisa la Dar es salaam ilikukuza uelewa washughuli zinazo fanywa na soko hilo.

Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo Meneja mauzo na masoko wa soko la HISA Mary KINABO amesema kuwa katika shindano hilo jumla ywanafunzi wa vyuo vikuu 200 wameweza kujisajili katika shindano la Schollar challenge linaloendeshwa na soko hilo 
.
‘’Wanafunzi wavyuo mbalimbali wapatao 200 wameweza kujisajili katika shindano la Schollar INVESTMENT Challenge linalo endeshwa na soko letu lahisa la Dar es salaam ninawaomba wanafunzi wajitokeze Zaidi katika shindano hili ilikuweza kujikwamua naumasikini ‘’Alisema Meneja Mauzo na Masoko Mery Kinabo .

Afisa Mauzo Mary alisema kuwa katika kuliwezesha soko hilo kuweza kukuwa kibishara nakuwavutia wawekezaji nchini jumla yahisa milioni 145 ziliuzwa katikakipindi cha wikimoja ambapo jumla ya shilingi bilioni 7.2 ziliuzwa ikilinganishwa na shilingi bilioni 2.9 kwa wiki iliyopita .

Alisema kuwa makapuni yanayoongoza katika uzwaji wa hisa hizo nipamoja na benki ya CRDB ,Kampuni yasigara yaTCC na benki ya kibishara ya NMB .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni