Jumatatu, 21 Machi 2016

MAFURIKO MKOANI MOROGORO YAHARIBU MIUNDOMBINU YA RELI ,YABADILISHA RATIBA ZA KUSAFIRI.

Tokeo la picha la MIUNDO MBINU YA RELI

Miundombinu ya reli mkoani morogoro ilivyo haribika kutokana na mafuriko mkoani morogoro



Timothy Marko
KUFUATIA  mafuriko katika reli yakati kilosa  mkoani  Morogoro na kusabisha baadhi yamiundo mbinu kuathirikaMamlaka ya Reli nchini imesitisha safari zake kutoka Dar es salaam nakuweza kuhamishia huduma zake Mkoani Dodoma .

Akizungumza na waandishi wa habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Wa TRL Masanja kadogosa amesema kuwa kutokana nakusitishwa kwa huduma hiyo ,ratiba yahudumahiyo inatarajiwa kuanza kesho  kwa wasafiri wanaotarajia kusafirikutoka Dar es salaam kwenda mwanza nakigoma kuanzia saa 11jioni .

‘’Naile ile treni Mpya yetu mpya ya Delux inayo toka Mwaka na Kigoma kila siku ya jumanne saa 2:00asubuhi wasafiri wote wanatakiwa kufanya booking mapema ‘’Alisema Kaimu Mkurugenzi Masanja Kadogosa .

Kaimu Mkurugenzi Kadogosa alisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea kufuatia mashirikiano kati ya kampuni hodhi ya Rahaco pamoja na Shilika lareli nchini ilkuweza kurejesha huduma hiyo kama ilivyo awali .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni