Miundombinu ya reli mkoani morogoro ilivyo haribika kutokana na mafuriko mkoani morogoro |
Timothy Marko
KUFUATIA mafuriko katika reli yakati kilosa mkoani Morogoro
na kusabisha baadhi yamiundo mbinu kuathirikaMamlaka ya Reli nchini imesitisha
safari zake kutoka Dar es salaam nakuweza kuhamishia huduma zake Mkoani Dodoma
.
Akizungumza
na waandishi wa habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Wa
TRL Masanja kadogosa amesema kuwa kutokana nakusitishwa kwa huduma hiyo ,ratiba
yahudumahiyo inatarajiwa kuanza kesho kwa wasafiri wanaotarajia kusafirikutoka Dar
es salaam kwenda mwanza nakigoma kuanzia saa 11jioni .
‘’Naile ile
treni Mpya yetu mpya ya Delux inayo toka Mwaka na Kigoma kila siku ya jumanne
saa 2:00asubuhi wasafiri wote wanatakiwa kufanya booking mapema ‘’Alisema Kaimu
Mkurugenzi Masanja Kadogosa .
Kaimu
Mkurugenzi Kadogosa alisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea kufuatia
mashirikiano kati ya kampuni hodhi ya Rahaco pamoja na Shilika lareli nchini
ilkuweza kurejesha huduma hiyo kama ilivyo awali .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni