Na Timothy
Marko.
WAANDISHI wa
Habari wametakiwa kutumia kalamu zao katika kuhamasisha utunzaji na uhifadhi wa
mazingira ikiwa njia yakuondokana na magonjwa yamlipuko ikiwemo kipindu pindu .
Akizungumza
katika mkutano wa andishi wa habari katika ukumbi wa idara maelezo jijini
Mchugaji wa huduma ya Good News for all Leonard
Kajuna amesema kuwa waandishi ninguzo muhimu katika kuhamasisha wa kuu
wa mipango miji na majiji kuweza kutumia taaluma zao katika kuhamasisha
utunzaji wa mazingira pamoja na mipango miji .
‘’Waandishi
wa Habari tumieni kalamu zenu katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira nakuweza
kuhamasisha viwanda kuweza kupunguza hewa ya ukaa kwenye anga ‘’Alisema
Mchungaji Leonard Kajuna .
Mchungaji
Kajuna alisema kuwa kutokana na baadhi ya wananchi kuwepo kuweza kubomolewa
nyumba zao kutokana kutozingatia sheria za mipangomiji hali inayopelekea baadhi
ya wananchi hao kuweza kukaa katika mazingira yasiyo salama hali inayo pelekea
kushindwa kwa baadhi ya miundombinu ya majitaka kushindwa na kusababisha
magonjwa yamilipuko ikiwemo kipindupindu .
Alisema
kupambana na tatizo la mipango miji nchini serikali haina budi kushirikiana na
taasisi za kimataifa kuweza kuboresha makazi mazuri ilikuweza kuondokana na
magonjwa yamlipuko ikiwemo kipindu pindu .
‘’SERIKALI
inaratibu mipango miji lakini huruma inahitajika ikwemo kwa taasisi za
kimataifa kutoamisada ya mahema kwa athirika wa bomoa bomoa katika maeneo
yasiyo rasmi ilikuweza kupata makaazi bora ‘’Aliongeza Kajuna.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni