waziri wa fedha na uchumi philiph MPANGO |
Timothy Marko.
SERIKALI imeweza
kukusanya mapato yatokanayo nakodi kiasi cha shilingi trioni 1.4katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka jana nakufanya kiasi
hicho kuvunja rekodi ya makusanyo ya mapato yatokanayo na kodi .
Ongezeko hilo
nisawa na asilimia 18 ya mapato ya serikali yaliyoweza kuksanywa katika kipindi
cha mwaka wa fedha 2013/14 ambapo wastani wamapato hayo nisawa milioni 1.592 .
Akizungumza
na waandishi wa habari Waziri wa fedha na uchumi Philiph Mapango amesema kuwa
wastani wa maoteo yasiyo yakodi yameweza kufikia trioni 1,260 wakati huo huo
yasiyo yakodi yameweza kufikia wastani wa trioni 0.08
‘’ukilinganisha
mapato yaserikali katika kipindi cha mwaka wa fedha 2014/15 jumla shilingi
trioni 1bilioni 400 zimeweza kukusanywa sawa na ongezeko asilimia 40 ikilinganishwa na mwaka wafedha
unaoishia mwaka huu ‘’Alisema waziri philiph Mpango.
Waziri
Philiph Mpango alisema kuwa wasatani wamakusanyo yote yaserikali katika kipindi
cha mwezi desemba mwakajana hadi januari mwaka huu nishilingi bilioni 892
wakati huo huo alisema kuwa ikilinganishwa kipindi mwezi julai hadi desemba
wastani wa shilingi bilioni 174 ziliweza kusanywa sawa na asilimia26 ya mapato
yote.
Alisema kuwa
kutokana na takwimu hizo serikali ya awamu yatano ikilinganishwa na awamu zote
awamu yatano imeweza kuvunja rekodi ya makusanyo ya kodi.
‘’kama
tutaendelea hivi tutaweza weza kukasnya mapato yaserikali nakuweza kuvukalengo
zaidi nazaidi ‘’Aliongeza Mpango .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni