Jumatano, 6 Januari 2016

MAKAO MAKUU YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YAKUMBWA NA TAFRANI YAMOTO .



Timothy Marko.
Wizara  ya Mambo yandani mapema hii leo imekumbwa na Tafurani kuungua kwa ofisi zake baada moja ya ofisi zake zilizopo katika gorofa yanne kukumbwa na cheche zamoto zinazotokana na baadhi ya miundo mbinu ya umeme yajengo hilo kuwaka moto .
Tukio hilo lililo tokea majira ya saatano asubuhi lili weza kudhibititiwa nakikosi chazima moto kilichopo katika wizara yamambo yandani .
Akizungumza nawaandshi wa habari Msemaji wa jeshi lapolisi nchini Advera Bulimba alisema kuwa hali yakutokea kwatukio hilo limesababisha kikosi chazima moto kuonesha uharaka wake wakukabiliana na majanga mbalimbali yahusuyo natafurani yazimamoto pindi majanga ya moto yanapotokea .

‘’Uhodari wakikosi cha zimamoto katika kukabiliana navitendo vyamajanga umeweza kuonekana baada  kikosi hiki kufika kwa wakati pindi tukio hili lilipotokea kwenye majira ya saa tano asubuhi hapa makao makuu yawizara yamambo yandani ‘’Alisema Advera BULIMBA .

Advera alisema kuwa jeshi lapolisi kitengo cha zimamoto ni kitengo kinachojitegemea hali inayosababisha kikosi hicho kuwa imara katika kukabiliana namatukio kama hayo.
Alisema katika tukio hilo jeshi hilo halikuweza kupata majeruhi wa tukio hilo hadi tunakwenda mitamboni .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni