Timothy Marko.
Wizara ya Mambo yandani mapema hii leo imekumbwa na
Tafurani kuungua kwa ofisi zake baada moja ya ofisi zake zilizopo katika gorofa
yanne kukumbwa na cheche zamoto zinazotokana na baadhi ya miundo mbinu ya umeme
yajengo hilo kuwaka moto .
Tukio hilo
lililo tokea majira ya saatano asubuhi lili weza kudhibititiwa nakikosi chazima
moto kilichopo katika wizara yamambo yandani .
Akizungumza
nawaandshi wa habari Msemaji wa jeshi lapolisi nchini Advera Bulimba alisema
kuwa hali yakutokea kwatukio hilo limesababisha kikosi chazima moto kuonesha
uharaka wake wakukabiliana na majanga mbalimbali yahusuyo natafurani yazimamoto
pindi majanga ya moto yanapotokea .
‘’Uhodari
wakikosi cha zimamoto katika kukabiliana navitendo vyamajanga umeweza kuonekana
baada kikosi hiki kufika kwa wakati
pindi tukio hili lilipotokea kwenye majira ya saa tano asubuhi hapa makao makuu
yawizara yamambo yandani ‘’Alisema Advera BULIMBA .
Advera alisema
kuwa jeshi lapolisi kitengo cha zimamoto ni kitengo kinachojitegemea hali
inayosababisha kikosi hicho kuwa imara katika kukabiliana namatukio kama hayo.
Alisema katika
tukio hilo jeshi hilo halikuweza kupata majeruhi wa tukio hilo hadi tunakwenda
mitamboni .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni