Jumatatu, 24 Novemba 2014

TUME YA HAKI ZA BINADAMU :WANAWAKE 1000 WANAKABILIWA NA UNYANYASAJI WAKIJINSIA .

Timothy Marko
IKIWA  nisikumoja Tanzania kuadhimisha siku ya haki za binadamu tume ya haki za binadamu imesema kuwa wanawake 1000 wanabiliwa navitendo vya unyayasaji ikilinganishwa nawanaume ambapo vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri katika maeneo kaskazini mwa Tanzania 

Akizungumza mapema hileo jijini Dar es salaam Afisa uchunguzi wa tume ya haki za binadamu  nchini Frolence Mchaki amesema kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri baada ya vyombo vya habari kuibua masuala mbalimbali yahusuyo ukatiliwa kijinsia hali inayoelekea kuwepo kuongezeka siku hadi siku ikilinganishwa nawali .

‘’Katika nchi yetu vitendo vya ukatili wa wanawake vimeongezeka baada ya kufuatiliwa na vyombo vya habari ikilinganishwa naukatili wa wanaume jambo ambalo limekuwa halirpotiwi sana japo ukatili dhidi ya wanaume upo lakini hajaweza kupewa nafasi navyombo vya habari ‘’alisema Frolence Mchaki .

Frolence  Mchaki alisemakuwa katika utafiti ulifanywa natumehiyo ulionesha kuwa katika kipindi cha mwaka 2008-2009 ukatili wakijinsia umeweza kuongezeka ikiwemo mauaji yavikongwe ikiwa husinisha namasuala ya ushirikina moja kwamoja hususan katika kanda yaziwa ambapo jumla yavikongwe 258 waliuwawa kutokana imani za kishirikina wengi wao niwanawake .
Alisema kuwa wanawake wamekuwa wakifanyiwa vitendo vyaukatili katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika umiliki waardhi wivu wamapenzi hali imekuwa kubwa ikilinganishwa nawanaume nakusitiza kuwa kumekuwa naukatili wakijinsia hususan katika ugwanyaji wa mirathi pindi wanawake wanapo poteza wenzi wao .
‘’wanawake wamekuwa wakifanyiwa vitendo vyaukatili kwa sababu mbali mbali ikiwemo umilki wa ardhi wanaweke wamekuwa wakibaguliwa katika umiliki wa ardhi’’Aliongeza Mchaki .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni