Timothy Marko
IKIWA nisikumoja Tanzania kuadhimisha siku ya haki
za binadamu tume ya haki za binadamu imesema kuwa wanawake 1000 wanabiliwa
navitendo vya unyayasaji ikilinganishwa nawanaume ambapo vitendo hivyo vimekuwa
vikishamiri katika maeneo kaskazini mwa Tanzania
Akizungumza mapema
hileo jijini Dar es salaam Afisa uchunguzi wa tume ya haki za binadamu nchini Frolence Mchaki amesema kuwa vitendo
hivyo vimekuwa vikishamiri baada ya vyombo vya habari kuibua masuala mbalimbali
yahusuyo ukatiliwa kijinsia hali inayoelekea kuwepo kuongezeka siku hadi siku
ikilinganishwa nawali .
‘’Katika
nchi yetu vitendo vya ukatili wa wanawake vimeongezeka baada ya kufuatiliwa na
vyombo vya habari ikilinganishwa naukatili wa wanaume jambo ambalo limekuwa
halirpotiwi sana japo ukatili dhidi ya wanaume upo lakini hajaweza kupewa
nafasi navyombo vya habari ‘’alisema Frolence Mchaki .
Frolence Mchaki alisemakuwa katika utafiti ulifanywa
natumehiyo ulionesha kuwa katika kipindi cha mwaka 2008-2009 ukatili wakijinsia
umeweza kuongezeka ikiwemo mauaji yavikongwe ikiwa husinisha namasuala ya
ushirikina moja kwamoja hususan katika kanda yaziwa ambapo jumla yavikongwe 258
waliuwawa kutokana imani za kishirikina wengi wao niwanawake .
Alisema kuwa
wanawake wamekuwa wakifanyiwa vitendo vyaukatili katika maeneo mbalimbali
ikiwemo katika umiliki waardhi wivu wamapenzi hali imekuwa kubwa ikilinganishwa
nawanaume nakusitiza kuwa kumekuwa naukatili wakijinsia hususan katika
ugwanyaji wa mirathi pindi wanawake wanapo poteza wenzi wao .
‘’wanawake
wamekuwa wakifanyiwa vitendo vyaukatili kwa sababu mbali mbali ikiwemo umilki
wa ardhi wanaweke wamekuwa wakibaguliwa katika umiliki wa ardhi’’Aliongeza
Mchaki .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni