Timothy Marko
KUFUATIA
kuhusishwa kwa baadhi ya watendaji wabunge nakashfa nzito ya Wizi wafedha
katika akaunti ya ESCROW viongozi wa
makanisa yakipentekoste nchini wamelani kitendo chawabunge hao kushikilia
madaraka bungeni hali inayopelekea kulichafua bungehilo ikiwa lenyewe ndio
muhimili wa tatu wa dola.
Akizungumza
jijini Dar es salaam mapema hileo Mchungaji wa kanisa la kinjili la kipentekoste
nchini William Mwamalanga amesemakuwa amesikitishwa na baadhi yawatendaji
wabunge hilo la jamuhuri wa muungano watanzania kukosa uadilifu kwakuhusishwa
navitendo vya wizi katika akaunti ya Escrow.\
‘’Nashangaa
sana walioiba katika akaunti ya escrow wanastahilikukaa katika viti vyambele
kweli katika bunge bungeni nimahali
patakatifu hivyo wanastahili kukukaa watu waadilifu nasio wezi
nilitegemea kesho watu hawa wangepelekwa kwenye vyombo vyasheria ‘’Alisema William
Mwamalanga .
Mchungaji
wiliam Mwamalanga alisema hali yakuhusishwa kwa baadhi ya watendaji wa
bungehilo katika maswala yawizi wa fedha za umma nijambo linalotia doa serikali
ilihali bungehilo limekuwa likitunga sheria nakuzipitisha ilikuweza kusimamia utendaji wa serikali
kushindwa kudhibiti kwa bunge hilo katika wizi wa mabiloni yafedha nikikitendo
cha bunge hilo kukosa uadilifu .
Alisema kuwa kutokana na kukosa uadilifu bungeni hapo
jumuhia ya maaskofu wa makanisa wakipendekoste nchini wanatarajia wiki ijayo
kufanya maandamano ya amani kupinga vitendo vya wizi katika akaunti
ya ESCROW.
‘’Wiki ijayo
jumuhia ya makanisa yakipendekoste tunatarajia kufanya maandamano ya amani
kupinga vitendo vyaufisadi vinavyo fanywa na baadhi ya watendaji wabunge ‘’Aliongeza
MCHUNGAJI Mwamalanga .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni