Timothy Marko.
KATIKA
kupambana na athari za mabadiliko yatabia yanchi Nchini,Tanzania
kwakushirikiana nataasisi za kimataifa katika kuweka mipango mikakati ya taifa
(NCCS )ilikuweza kutoa miongozo juu ya muitikio ikiwemo rasilimali ilikuweza
kupambana na janga hilo .
Akizungumza
jijini mapema hileo,Mkurugenzi wa benki ya dunia Phillippe Dongier amesema kuwa
mapambano juu ya madiliko ya tabia ya nchi yanahitaji juhudi za serikali
kwakushirikiana wizara yakilimo chakula na ushirika ilkuweza kuridhia mpango
huo .
‘’Kiwango
cha umasikini Tanzania inakaririwa niasilimia 28 yawatu ambapo watu wengi
wanaishi katika maeneo yavijini ambapo wategemea zaidi maliasili ambazo
hutegemea hali yahewa ambapo kilimo ndio sekta kuu yauchumi huchangia asilimia 25 kama pato
lataifa ambapo mauzo yabidhaa kutka nje huchangia asilimia themanini wa
wananchi ambapo wengi wawakulima wadogo wadogo hutegemea mvua kustawisha mazao ‘’alisema
Philipper Dongier
Phililiphe
Dongier alisema kuwa mabadiliko yatabia yanchi yanaathari katika Nyanja zakiuchumi
bilakujali maeneo yamjini au vijijini imebainika kuwa ifikapo mwaka 2030 kutakuwa
namafuriko yanayosabishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi .
Alisema ilikuwezakupambana
na majanga mbalimbali yanayotokana na mabadiliko hayo benki yadunia
kwakushirikiana najumuhia zingine
zakimataifa baada ya kongamano
lililofanyika nchini marekani katika mji waNew York ikifuatiwa nakongamano la
mjini Dar es salaam ikiwa nalengo la kuharakisha jitihada za kukabiliana
najanga hilo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni