Jumanne, 11 Novemba 2014

TANZANIA KUSHIRIKIANA NAJUMUHIA YAKIMATAIFA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YANCHI

Timothy Marko.
KATIKA kupambana na athari za mabadiliko yatabia yanchi Nchini,Tanzania kwakushirikiana nataasisi za kimataifa katika kuweka mipango mikakati ya taifa (NCCS )ilikuweza kutoa miongozo juu ya muitikio ikiwemo rasilimali ilikuweza kupambana na janga hilo .

Akizungumza jijini mapema hileo,Mkurugenzi wa benki ya dunia Phillippe Dongier amesema kuwa mapambano juu ya madiliko ya tabia ya nchi yanahitaji juhudi za serikali kwakushirikiana wizara yakilimo chakula na ushirika ilkuweza kuridhia mpango huo .

‘’Kiwango cha umasikini Tanzania inakaririwa niasilimia 28 yawatu ambapo watu wengi wanaishi katika maeneo yavijini ambapo wategemea zaidi maliasili ambazo hutegemea hali yahewa ambapo kilimo ndio sekta kuu  yauchumi huchangia asilimia 25 kama pato lataifa ambapo mauzo yabidhaa kutka nje huchangia asilimia themanini wa wananchi ambapo wengi wawakulima wadogo wadogo hutegemea mvua kustawisha mazao ‘’alisema Philipper Dongier

Phililiphe Dongier alisema kuwa mabadiliko yatabia yanchi yanaathari katika Nyanja zakiuchumi bilakujali maeneo yamjini au vijijini  imebainika kuwa ifikapo mwaka 2030 kutakuwa namafuriko yanayosabishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi .


Alisema ilikuwezakupambana na majanga mbalimbali yanayotokana na mabadiliko hayo benki yadunia kwakushirikiana  najumuhia zingine zakimataifa  baada ya kongamano lililofanyika nchini marekani katika mji waNew York ikifuatiwa nakongamano la mjini Dar es salaam ikiwa nalengo la kuharakisha jitihada za kukabiliana najanga hilo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni